Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

PSG watoto wadogo sana kwangu hawajawahi niumiza kichwa hata siku moja.
Hao psg wanawaonea vilema kama liverpool, celtic etc.

Huyu Nae! 😀😀😀 eti vilema Kama Liverpool! Sijui Umeanza Kuangalia Mpira Mwaka Gani?? Kwani unakumbukumbu gani Kuhusu PSG na kukutana na Timu za Kiingereza.
 
IMG_7047.jpg
 
Kwa sisi tunaojua kikosi chetu kinavyopangwa tulijua tutafungwa magoli mengi tu
Huwezi kumweka aspi katikati
Huwezi kuanza na fabi katikati wakati unajua Roma wana de rose
Kikosi changu ningepanga ifuatavyo hata kama kante hskucheza jana
Rudiger, luiz, asp
Alonso,bakayoko,drinkwater,zappa
Pedro,morata,hazard

Hiki kikosi kisingefungwa na kngepata hata sare tu

Mimi ningefanya mabadiliko mawili kwenye kikosi chako.

Azpilicueta, Christensen, Luiz
Alonso, Drinkwater, Fabregas, Zappacosta
Pedro, Morata, Hazard
 
Naamini Conte kwenye mechi ya jana kapata kitu chenyewe kinawez tusaidia katika mechi ya jumapili...
 
Date: 31st Octo

kiongozi, mechi ya jana kwa sisi wana blues tunaoijua team vizuri tulivoona tu LINEUP tulijua tunafungwa goli nyingi ila idadi ndo haikujulikana. kwasababu zifuatazo
1. kiungo-kumuweka fabregas+bakayoko ambao wote wanacheza kama wanalazimishwa VS viungo strong wa roma. drinkwater alitakiwa aanze na bakayoko na fabregas akae benchi.
2. beki-cahili hastahili kuwepo kwenye 1st11 nadhani mliona hadi akaamua kumtoa dakika ya 51 ku avoid further damage. weka[LUIZ+RUDIGER+AZPICULETA].
3.Marcos Alonso kashuka kiwango hastahili kuwepo kwenye 1st11 insteady muweke KENNEDY dogo anajituma.
4.Azpculeta kucheza wingback insteady of zappacosta ni tatizo kwa conte. weka zappa mtu ambaye kazoea namba yake.

Nakubali Cahill ni mbovu lakini kwa jana!?????

Nikumbushe lini Cahill kacheza defence upande wa kulia???? Jana ndo kajaribishwa na ikala kwetu lakini hata ukiangalia replays magoli yote mawili hakukuwa na kosa la Cahill bali Rudiger.

Mimi kwenye namba 2 yako hapo badala ya kumuweka Rudiger ningemuweka Christensen.

Cahill ni mbovu ila si kwa chuki hizi mnazomwonyesha.

Rudiger na Bakayoko jana were ...ah...

Tukutane Jumapili!
 
Dah jamani tuache utani, kwa tuliobahatika kucheki game ya Tottenham...dah aisee utawatamani. Nimewaonea wivu kwa mpira walioutandaza.

Game ile ingekuwa Conte lazima angezidisha defensive players waishie na kufungwa. What a game aisee...mwanzo mwisho..very few mistakes.

Kwa kazi waliyoonesha kina Trippier na Wilks nadhani Conte pia aanze kumuangalia Kenedy zaidi nafasi anayocheza Alonso.

Kwa Musonda unaweza kuelewa kuwa Musonda anacheza namba ambayo wachezaji wengi wazuri zaidi yake wanaweza kucheza mathalani Willian na Hazard. Tena hata Fabregas anaweza kucheza.

Ila kwa Kenedy sijaona sababu kwa nini hamuweki kumchallenge Alonso. He needs more games kuongeza kujiamini na kuelewana na wachezaji wengine. Hawa ndo madogo watakaocheza kwa kujituma na wanaweza kuwa nasi kwa muda mrefu.
 
IMG_20171102_064203.jpeg

Kila timu ina defender ambaye hushushiwa lawama timu yake inapofungwa hata kama hajahusika.United kuna Smalling,Liverpool kuna Lovren,City kuna Mangala na Chelsea kuna Cahill.

Ni mara chache sana timu ambayo inachezesha 3 CB inaruhusu magoli mengi kama Chelsea inavyoruhusu msimu huu.Tatizo kubwa linaanzia kwenye midfield wanakuwa exposed mara kwa mara Bakayoko & Fabregas sio wazuri kwenye kukaba

Conte anapaswa kuangalia opponent anaocheza nao sometime angekuwa anaswitch to 4-4-2 au 4-3-3 timu nyingi zilishaujua ule mfumo wake wa msimu uliopita 3-4-3,Roma walikuwa na 3 midfielder (Naingollan,De Rossi & Strootman) while Chelsea walikuwa na Fabregas & Bakayoko .First leg Chelsea walizidiwa sana na Roma so Conte alipaswa kubadili mbinu ili aweze kupambana nao

Pia Morata anaonekana amechoka na hayuko fit Batshuayi anahitaji kupewa nafasi zaidi ya kucheza
 
View attachment 622325

Umeongea point sana.

Ila nitofautiane nawe hapo kwa kucheza 4-3-3.

Tungeweza kubaki na hiyohiyo 3-4-3 na kushinda kama angeangalia upangaji wake wa kikosi. Timu pinzani kuujua mfumo wako ni moja, ubora wa mfumo wako ni lingine.

Kwa mfano mechi ya juzi unadhani formation ndo ilitofungisha ama wachezaji waliopangwa?

Ni mechi ya muhimu kushinda maana ingetupunguzia stress ya UCL games nyingine, kama hutaki kufungwa si uweke defensive mid wawili? Sacrifice Pedro??? Hiyo ingekuwa 3-5-2 ila hakikisha hubadilishi beki. Unajaribisha beki kwenye mechi unayohitaji kushinda kweli?
 
PSG watoto wadogo sana kwangu hawajawahi niumiza kichwa hata siku moja.
Hao psg wanawaonea vilema kama liverpool, celtic etc.
Usiseme hivyo
Mimi ni Chelsea lakini PSG wakikutana na Chelsea wana ujasiri mkubwa sana mechi mbili mfululizo walitutupa nje ya UEFA nafikiri ni 2014 na 15. Tena ile PSG ya kawaida. Hii PSG ya sasa mbele wako Nay, Mbappe, Edinson na Cavani ni hatari zaidi. Chelsea makini tu ndio itakayoweza kupata ushindi mwembamba au draw.
 
View attachment 622325

Kila timu ina defender ambaye hushushiwa lawama timu yake inapofungwa hata kama hajahusika.United kuna Smalling,Liverpool kuna Lovren,City kuna Mangala na Chelsea kuna Cahill.

Ni mara chache sana timu ambayo inachezesha 3 CB inaruhusu magoli mengi kama Chelsea inavyoruhusu msimu huu.Tatizo kubwa linaanzia kwenye midfield wanakuwa exposed mara kwa mara Bakayoko & Fabregas sio wazuri kwenye kukaba

Conte anapaswa kuangalia opponent anaocheza nao sometime angekuwa anaswitch to 4-4-2 au 4-3-3 timu nyingi zilishaujua ule mfumo wake wa msimu uliopita 3-4-3,Roma walikuwa na 3 midfielder (Naingollan,De Rossi & Strootman) while Chelsea walikuwa na Fabregas & Bakayoko .First leg Chelsea walizidiwa sana na Roma so Conte alipaswa kubadili mbinu ili aweze kupambana nao

Pia Morata anaonekana amechoka na hayuko fit Batshuayi anahitaji kupewa nafasi zaidi ya kucheza
Chelsea hatufungwi kwa sababu ya mfumo ,Mimi nikiona lineup tu naweza kujua mapema kuwa Kama tutafungwa , Mechi vs man city ukiangalia lineup tu unajua hapa hakuna hata shot on target tutakayopata, juzi vs Roma lineup tu unajua hakuna clean sheet .
Kwa mfano next match vs man utd akipanga luiz ,rud na Cahill kwenye back 3 lazima man watapata goli, ukiacha majeruhi ila lazima tukubali kuna wachezaji wana underperform Sana msimu huu akiwemo Cahill na Azp name unfortunately Hawa ndio Conte anawapenda kuliko. Ikitoka lineup at jumapili nitakuja kuweka prediction yangu ambayo najua itakuwa 80% correct
 
Kwa miaka mingi Chelsea inaundwa kutegemea key players ambao wakikosekana timu inapata taabu sana kwa sasa Kante ni big loss kwenye timu ya Chelsea yeye ndio anafunika makosa ya wengi(midfielders& defenders) na kuwafanya baadhi ya players waonekane vizuri Conte anapata taabu sana sababu Bakayoko,Fab,Drinkwater uchezaji wao na workrate zao ni ndogo ukilinganisha na Kante wote wanacheza vizuri wakicheza na Kante

Matatizo makubwa yanaanzia kwenye kiungo ndio maana timu inashambuliwa kirahisi.Ukichezesha viungo 3 unakuwa na advantage ya kuwapunguzia mabeki mzigo na kuwachezesha sana 3CB unawafanya wanajisahau/wanategeana na umeona kosa la Rudiger mpira umepigwa anauangalia hana pressure anadhani wenzake wataokoa

Some players viwango vimeshuka sababu wanachoka kucheza mechi nyingi unlike last season ambapo walicheza mechi chache
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom