ChaterMaster
JF-Expert Member
- Aug 17, 2009
- 1,623
- 808
Uchambuz wako nineukubali ila kuna pahala lazima upaweke sawa napo ni unaposema tumpe mda conte wakat huohuo unasema timu inaendeshwa kibiashara na movichi anayetaka ushnd wa papo kwa hapoTimu yetu ni ya kuunga unga kila msimu ndo maana tunaonyesha mpira mbovu. Tumpe kocha muda kama alivyopewa Pochettinho
Sasa which is whch..
Mi nazan ss kama mashabk lazma tuungane na movich kupata mafanikio ya kila msimu regardless what..
Maana timu sio yetu ni ya bwana mkubwa movic na anatoa hela zake il apate faida, hvo huez pingana na mweny timu anachotaka.
Mi nasuggest Conte au cocha yeyote yule anapokuja Chelsea atoe mawazo ya et kukuza vijana, hamna hcho kitu maana mfumo wa kuendesha timu unajulikana... Haiezekan umeajirwa kwa lengo la mafanikio ya fasta hafu useme et upewe muda.. No noo..
Inatakiwa ujue na utafute mbinu matata za kupata very qualified player every season ili kufanya timu iwe juu mda wote..
Mbona conte kaingia paap hapohapo kabeba ubngwa kwann asiendeleze gia zilezike ktk msimu huu ili tubebe kombe..?
Tatzo nnaloliona ni ile hal ya kubweteka na ubngwa na kuona kama tumeahnda msm ulopita bas hata huu tutashnda tu.. Huku tukisahau kuwa wenzetu nao wamejipanga kw muda mrefu na wanakuja na mbinu tofauti
Chelsea FC
kaz_official @Adizkaz
Dash gadel @dash_gadel