Blue is the colour, football is the game
We're all together, and winning is our aim
So cheer us on through the sun and rain
'Cause Chelsea, Chelsea is our name'
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji30][emoji30]
Miguu michafu ya kina Hazzard. Miguu Iliyobeba nyayo zenye vumbi la dhambi. Ilipothubutu tu kuikanyaga ardhi takatifu ya mji wa Roma. Ardhi ikapiga kelele ishara ya kwamba kuna watu wamekuja kuitia najisi nchi. Ndipo gavana katili wa mji wa Roma akawauliza Dzeko na El Shalaw. Mnataka nimfanyeje CHELSEA?!! Zikasikika kelele ASULUBIWE! ASULUBIWE!
Basi gavana akaamuru Chelsea atendewe kama watu wa mji wa Roma watakavyo.
Roma wakamtwaa Chelsea, wakamfanyia dhihaka kwa kumvika nepi kichwani, kisha wakamnyoa ndevu kwa vijinga vya moto.
Wakamtundika kwenye mbao zilizotengezwa mfano wa msalaba. Kisha wakampigilia misumari mikubwa mi 3. Mikononi na miguuni. Juu ya kichwa chake wakaweka kibao chenye maneno ya kiitaliano.. Mosi serta hora inserta. Yaani, HUYU NDIYE MFALME WA LIGI KUU YA ENGLAND.
Baadhi ya askari wasiojua tafsiri ya neno utu tangu wazaliwe. Wakamuona Abromovic amejificha akishuhudia mateso ya Chelsea. Wakamfuata nakumuuliza. Wewe nawe u sehemu ya watu hawa?!! Abromovic akaikana Chelsea mara 3 kwa kusema maneno haya..
SIJAWAJUA WATU HAO TANGU KUZALIWA KWANGU.'' Baada ya hapo akatoka mbio mithili ya kibaka aliyeichoropoa shingo yake kwenye tairi la moto.
kiongozi, mechi ya jana kwa sisi wana blues tunaoijua team vizuri tulivoona tu LINEUP tulijua tunafungwa goli nyingi ila idadi ndo haikujulikana. kwasababu zifuatazo
1. kiungo-kumuweka fabregas+bakayoko ambao wote wanacheza kama wanalazimishwa VS viungo strong wa roma. drinkwater alitakiwa aanze na bakayoko na fabregas akae benchi.
2. beki-cahili hastahili kuwepo kwenye 1st11 nadhani mliona hadi akaamua kumtoa dakika ya 51 ku avoid further damage. weka[LUIZ+RUDIGER+AZPICULETA].
3.Marcos Alonso kashuka kiwango hastahili kuwepo kwenye 1st11 insteady muweke KENNEDY dogo anajituma.
4.Azpculeta kucheza wingback insteady of zappacosta ni tatizo kwa conte. weka zappa mtu ambaye kazoea namba yake.
Date: 31st October 2017 at 8:30pm Chelsea fans took to Twitter to slaughter Gary Cahill for his first-half display in their Champions League clash against Roma.
Two goals from Stephan El Shaarawy put the Italian club 2-0 up at half-time of the showdown in Rome to give the visitors a mountain to climb in the second period.
Cahill returned to the Chelsea starting XI after being omitted at the weekend when they secured a 1-0 Premier League win against Bournemouth.
The England international was selected on the right side of a three-man defence that also included David Luiz and Antonio Rudiger, flanked by wing-back pair Cesar Azpilicueta and Marcos Alonso.
Cahill was not directly at fault for either of El Shaarawy’s goals, which came after 42 seconds through a brilliant strike and then an opportunist goal after a Rudiger error.
But Chelsea fans took to social media en masse to lay into their 31-year-old most senior central defender.
This Is Futbol has rounded up some of the best tweets:

Mkuu naomba unitafsirie hapo
"Cahill was not directly at fault for either of El Shaarway's goals,which came after 42 seconds through a brilliant strike and then an opportunist goal after Rüdiger error"
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.