Timu yetu ni ya kuunga unga kila msimu ndo maana tunaonyesha mpira mbovu. Tumpe kocha muda kama alivyopewa Pochettinho
Conte ukimpa mda huwa anasajili wazee akina BONUCCI, maschisio, de rossi,
yeye huwa hana imani na vijana.
Timu yetu ni ya kuunga unga kila msimu ndo maana tunaonyesha mpira mbovu. Tumpe kocha muda kama alivyopewa Pochettinho
Musonda, Scotty, Christensen and the likes hawatakupa matokeo unayoyataka leo. Watabuild ndani ya misimu si chini ya miwili. Lakini pia tofautisha timu ya mtu(Ibramivich) na timu ambazo zinamilikiwa na watu. Anachoamua tajiri ndo hicho na kawaida ya Movich ni mtu anayetaka matokeo chapchap. Na hii inapelekea Chelsea kuwa klabu ya kutimua makosha kila wakati. Hii inapelekea kukosa timu stable na Ndiyo maana kila baada ya kuchukua ubingwa tunapoteanaNilimsikiliza pochetino kwenye documentary yake anasema yeye ni RISK TAKER, ali risk kumweka erick dier kiungo nafasi aliyokuwa haiwezi before.
conte angenigusa kama angeanza kutumia hawa madogo waliopo[musonda, kennedy, andreas, scot] achilia mbali tuliotoa kwa mikopo.
hao tuliotoa kwa mikopo angekuwa poch angetengeneza team isiyo na mfano kama barca ya gudiola.
Katika club ya Chelsea kocha hana absolutely power ya kununua wachezaji japo anashiriki katika mchakato. Bodi Ndiyo inayonunua wachezajiConte ukimpa mda huwa anasajili wazee akina BONUCCI, maschisio, de rossi,
yeye huwa hana imani na vijana.
Mkuu kuna tofauti ya interests kati ya kocha na bodi na boss na sisi huku mashabiki. The boss is more interested with mafanikio ya klabu kimatokeo na kifedha(maana yeye ndo anaweka pesa), sisi mashabiki tunahitaji matokeo na vikombe regardless yanapatikanaje.Awape nafasi wachezaji vijana, achana fabregas na Cahill KBS, wanatuyeyusha sana
Si kwamba Pochetinho anawaamini madogo ila ni kwamba kwa muda wa miaka kama minne amewatengeneza. So wanaaminika sasa. Sisi tunataka kuwatumia Vijana wakati hatujawatengeneza. Tunadhani wanatoka timu ya under 21 na kujenga EPL timu automatically. The youngsters are made, they don't make themselvesmkuu kikosi ni kizuri ona spurz hawajafanya usajili wa kutisha ila pochetino ni mbunifu anawaamini wadogo kama[winks+trippier+sanchez+etc] ona wanavofanya kazi hadi madrid na viungo wao akina modrid+casemiro+alonso walipoteana kwa watoto wadogo akina winks+dier.
kwanini conte asimpange Kennedy namba ya alonso??????? alonso anacheza kama bado yupo sunderland.
tuna vijana wazuri sana akina[KENNEDY+ANDREAS+MUSONDA+SCOTY] so why asiwape nafasi kama pochetino afanyavo?????
anakumbatia watu wasio na morali wanacheza kama wanalazimishwa.
Mahitaji ya timu ndo yanamfanya kocha atumie mbinu gani. Kama kila msimu unataka ubebe ndoo huwezi kudevelop wachezaji. Bakayoko is still a young person with just 23 yrs, na isitoshe katoka majeruhi. Drinkwater hajaaminika maana ametoka kwenye majeraha just two weeks ago.Mkuu, DRINKWATER ni mzuri na ni mpambanaji ila sio kama huyo mhenga wako Fabregas.
CHELSEA TUNA VIKOSI VITATU TUMEVITOA KWA MKOPO, huoni hadi hapo conte kayumba compared to pochetino??????
pochetino kamchukua ALLI from non league tena akiwa mdogo to premier league, why conte????
pedro alikuwa majeruhi kwanini usimpe chance musonda/boga??????
Bingwa wa kufungwa goal nyingi, refer
vs mancity 5-0
vs spurz 4-1
so why asijiite bingwa?????
Kutofautiana mawazo ni jambo la kawaida katika jamii ya watu walioelimika.Hichi Kigenge Cha Wababaishaji Naona Kinaanza Kunyoosheana Vidole Wao Kwa Wao...
😀😀😀
Hongera sana kiongoziKwa stahili hii ya ushabiki Chelsea hatutakuja kupata timu stable. Tofauti na Kante pale kati hakuna mtu mwenye kiwango cha Matic. Hivi kweli unaweza kusema Drinkwater apewe over Fabrigas!? Yani mtu hana hata wiki 2 tangu amerecover from injuries ndo achezeshwe?
Hili ndo linqmfanya Pedro kucheza chini ya kiwango msimu huu. Ametoka kwenye majeraha tena kabla hajapona tukaanza kumtumia community shield and since then tumemharibu.
Mm nashauri mashabiki wa Chelsea tuwe patient kama walivyokuwa mashabiki wa Tottenham na sasa wanajivunia stable team. We can't win the title every season. Tuache ushabiki maandazi. Tumpe kocha muda. Na kama tukimfukuza Conte itachukua muda kumpata kocha wa aina yake
Kwa lugha ya mpira tunasema Chelsea kuna Head Coach hakuna Manager.Katika club ya Chelsea kocha hana absolutely power ya kununua wachezaji japo anashiriki katika mchakato. Bodi Ndiyo inayonunua wachezaji
Vipi ile operesheni uliyokuwa unaendesha ya "Klopp Out" baada ya kutandikwa mikwaju minne pale wembley imeishia wapi?Hichi Kigenge Cha Wababaishaji Naona Kinaanza Kunyoosheana Vidole Wao Kwa Wao...
😀😀😀