Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Cahill ndie captain wa timu, tunategemea Cahill akiona uzembe wa beki yoyote yule amkunje hata jezi, sasa yeye mwenyewe makosa kibao na wenzake ndio hivyo ni kama timu haina Captain uwanjani
kwahiyo unakubali kwamba siyo Cahill pekee anaefanya makosa ni mabeki wote wa Chelsea wanafanya makosa kila mmoja kwa wakati wake.
 
Cesc Fabregas wants new Chelsea contract
cesc-fabregas.jpg

© SilverHub

By Barney Corkhill, Assistant Editor
Filed: Saturday, November 4, 2017 at 16:04 UK
Last Updated: Saturday, November 4, 2017 at 16:04 UK
Chelsea midfielder Cesc Fabregas has confirmed that he wants to extend his contract with the club.

The 30-year-old joined the Blues from Barcelona in 2014 and has 18 months remaining on his current deal, although recent speculation has linked him with a surprise move to Manchester United.
 
kwahiyo unakubali kwamba siyo Cahill pekee anaefanya makosa ni mabeki wote wa Chelsea wanafanya makosa kila mmoja kwa wakati wake.
Yeye kama captain huwa anachukua hatua gani kusahihisha makosa ya wenzake, kupanga last defense na majukumu mengine ya kuhamasisha timu kupata ushindi au na yeye ndo anashangaa shangaa tu uwanjani kama sio captain vile
 
Haaaaa Haaaaa Cahili amkunje mwenzie jezi???????
wakati yeye ndo source ya ubovu wa team.
Conte kasema j2 atampanga, SO MKUU ANDAA PANADO MAPEMA.
MIMI KILA NKIONA LINE UP YUPO CAHILI HUWA NAINGIA PHAMARCY KUTAFUTA PANADO.
Majanga majanga muingereza huyu, hivo huwa hakai kuangalia clips za JT enzi za ukaptain wake
 
Courtios... Azpilicueta... Luis/Christensen... Rudiger... Zappacosta... Bakayoko... Kante... Alonso/Kennedy... Pedro... Morata... Hazard
 
Yeye kama captain huwa anachukua hatua gani kusahihisha makosa ya wenzake, kupanga last defense na majukumu mengine ya kuhamasisha timu kupata ushindi au na yeye ndo anashangaa shangaa tu uwanjani kama sio captain vile

Kiongozi, angalia starts ambazo cahili kaanza kama captain, na ambazo azpiculeta kaanza kama captain.
alizoanza cahili this season tumeshinda one game, na ambazo kaanza azpiculeta tumeshinda zote.
 
Yeye kama captain huwa anachukua hatua gani kusahihisha makosa ya wenzake, kupanga last defense na majukumu mengine ya kuhamasisha timu kupata ushindi au na yeye ndo anashangaa shangaa tu uwanjani kama sio captain vile
Mimi na wewe tupo huku yeye na mabeki wenzie pamoja na Conte wapo huko je sisi tunajua kinachoendelea katika dressing room?
Rejea msimu wa 2015/2016 Chelsea ilipofanya vibaya na kumaliza nafasi ya 10 kwenye ligi Terry alikuwa Captain je alichukuwa hatua gani? mbona still timu haikuwa ikipata matokeo? au na yeye alikuwa anashangaa shangaa tu uwanjani?
 
Courtios... Azpilicueta... Luis/Christensen... Rudiger... Zappacosta... Bakayoko... Kante... Alonso/Kennedy... Pedro... Morata... Hazard

Toa kabisa ALONSO, kachoka, hakabi vizuri, hapambani. weka kennedy.
 
Mimi na wewe tupo huku yeye na mabeki wenzio pamoja na Conte wapo huko je sisi tunajua kinachoendelea katika dressing room?
Rejea msimu wa 2015/2016 Chelsea ilipofanya vibaya na kumaliza nafasi ya 10 kwenye ligi Terry alikuwa Captain je alichukuwa hatua gani? mbona still timu haikuwa ikipata matokeo? au na yeye alikuwa anshangaa shangaa tu uwanjani?
Unafananisha JT laiyekuwa anakaribia kustaafu na huju Cahill, nahisi siwezi kuendelea ku argue na wewe
 
MORATA WAS BEGGED NOT TO FOLLOW TORRES AND FALCAO BY TAKING 'CURSED' CHELSEA NO. 9 SHIRT
Chris Burton

18:11 SHARE 0 COMMENTS

Getty Images

The Spaniard turned a deaf ear to those advising him to inherit a different number upon completing a £70 million summer transfer to Stamford Bridge
 
Unafananisha JT laiyekuwa anakaribia kustaafu na huju Cahill, nahisi siwezi kuendelea ku argue na wewe
Umezungumzia Captain nimekutolea mfano wa JT 2015/2016 na kwa vile umeona huna hoja ya msingi ya kujitetea nayo hapo unaanza kukimbilia kwenye kustaafu kwahiyo sasa hivi kwa vile Iniesta anakaribia kustaafu he is not responsible as a Barcelona Captain? Unapokuwa Captain ni Captain tu haijalishi unakaribia kustaafu wala hukaribii kustaafu
 
Swali la kindezi kama hilo lina uhusiano gani na kiwango kibovu cha cahili???????
nimeuliza swali hilo kutaka kurelate comments zako na mwaka ulioanza kuifatilia Chelsea kwasababu comments zako zina resemble mtu aliyeanza kuifatilia Chelsea msimu uliopita walau ungeanza msimu wa 2015/2016 usingelimtupia lawama mtu mmoja pekee kana kwamba magoli yote anafungisha yeye.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom