Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

article-1333923-0C4507C2000005DC-840_468x359.jpg

Toto tundu Super strike: Andy Carroll tormented the Blues

article-1333923-0C450B53000005DC-803_468x286.jpg

Snow joke ... .....

'I have heard of Pep Guardiola, to be frank,' said Ancelotti. 'But you don't have to ask me - the coach is always the last to know. Don't ask me.
 
Acha hasira mkuu ndio mpira huo lool.

Hakuna hasira hapo mkuu, nimeongea tu ukweli wa mambo ulivyo....ina maana wewe ukisema Chelsea wanaongea uchafu ni sawa, lakini mimi nikisema Arsenal wanaongea pumba basi nina hasira?!!....anyway, sishangai sana maana kama nilivyosema mko sawa na kocha wenu....Acha HYPOCRISY mkuu, it's just a game.
 
cole.jpg

-Mole!- ....Ssssshhhhhh! (msimwambie mtu!)
 
Inabidi Chelsea watafute straika mwingine pale mbele, Drogba amezeeka na Kalou ni kama Bendtner....na midfiled ya kucheza defensive haitosaidia timu kufunga magoli.

Mastriker wapo sawa kamanda. Shida ipo midfield. Nina mashaka hata wakati wa kumnunua yule dogo wa Brazil Carlo hakushirikiswa. Mikel nae anachemsha tu.

Tusiposajri angalau wachezaji watatu January, inaweza ikala kwetu.
 
Invisible,Ab Tchaz,Maxence,FARIDA,Wachungaji Masanilo na Kishoka wamekimbia
 
Bado tu mnahisi kila kitu kipo shwari darajani?

Masaaaaaaa,Rev kishoookaaaaa, Peasanttttttttt na wengine woteeeeeeee kwema?
 
Wenge Musica,

We acha tu, zile dakika 30 za kwanza nilipata mdadi kama ule wa Chadema kabla ya uchaguzi. Kurudi second half, nimefadhaika wala si eti kuchakachuliwa bali ni sawa na lile la kutoka nje ya Bunge na baadae kuanza kudai hatukusema hatumtambui Kikwete.

I tell you Carlo may be the dumbest coach I have seen. Leo unaacha kuweka pace setters wa kufanya Evarton wawe defensive, unaishia kuvuja nyuma. Half time alitakiwa kuleta sura mpya ya Sturridge na Kakuta au kale ka Joshua kama si Zirikov na kumuondoa Kalou na Mikel au hata Drogba maana pace ilipungua.

Kwa nini hamchezeshi Malouda kulia mabako ni more effective halafu ana switch na Sturungi?

What the Fudge!
 
Pole sana mkuu ,lakini nilisema mechi iliopita na narudia tena kuna kitu kinaendelea Chelsea na siku mbili tatu zijazo tutasikia mtu anatupa ukweli kwenye media.
 
KIlianza na Wilkins, kaja yule jamaa mwingine, now Carlo sijui yuko machela halafu Abramovich ndo anashangilia WC kwenda Riga na Mockba!
 
Chelski; Mungu awape nn jaman?, mna ma-Mods wa kutoshaa, mna wachungaji na maparoko wa kutosha lakini badoooo tuuuu..........!
Fomu za usajili kuhamia Theatre of Dreams bado kidogo tutaanza kuzitoa, karibuni.
 
Poleni sana, ila mie kuhairishwa kwa mechi yetu na Blackpool kumeniboa kiaina.
 
CHELSEA_1177782a.jpg

Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Daraja bado limesimama

nimeambiwa limevunjika Je, ni kweli?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom