Peasant
JF-Expert Member
- Sep 27, 2007
- 3,949
- 699
Asante kaka. Nina kila mashaka na hali ya afya ya PEASANT na Rev. Masa. Ab Mapichaz, sina shaka nae. Lol!
Niko poa mkuu. It's just a blip, we'll be back at the top when we play Manure.
Asante kaka. Nina kila mashaka na hali ya afya ya PEASANT na Rev. Masa. Ab Mapichaz, sina shaka nae. Lol!
Asante kaka. Nina kila mashaka na hali ya afya ya PEASANT na Rev. Masa. Ab Mapichaz, sina shaka nae. Lol!
Ligi inaisha May 2011, acha vurugu kwenye bar
Ubingwa waanza kuinukia MANUTD...........................hiyo ndiyo habari ya leo....................
aaaaaaaaaaah wapi ,unafikiri kila timu Arsenal unaweza kuwarudishia na kuongeza? lol ,mv chelsea inazama hio kumeshakucha hapo mpaka ancelloti aondoke ndio mambo yatabadilika.sio kawaida chelsea kupoteza points kwa mfululizo kuna kitu kinaendelea lockerroom hatujui lakini sasa hivi tutajua.
safi sana chelsea endeleeni hivyo hivyo kupoteza points mpaka kieleweke.
wenye jukwaaa wakowapi? jukwaaa linaloongozwa na ma rev wawili,rev kishoka njoo utoe maombi meli inazama.rev masanilo najua kasha zima kwa kushambulia pombe kutokana na matokeo mabaya.
peasant yeye alienda uwanjani ndio kisingizio chake kikubwa sasa sijui kuna foleni kubwa au treni zina run late leo kwa vile jumapili.
invisible yeye wakishinda anakuwa robot anaonekana hapa wakifungwa anachukua status yake ya invisible.
abt(p)ichaz yeye anasusa kuleta pichaz hapa mpaka aone wach1 kaweka lol.
kama kuna mtu nimemsahau yeye aliona mbali toka msimu ulipoanza ndio maana hawaonekani hapa.
Asante kaka. Nina kila mashaka na hali ya afya ya PEASANT na Rev. Masa. Ab Mapichaz, sina shaka nae. Lol!
umenichekesha sana kwa haya maneno niliyoyakuza(BOLD) na rangi ya bluu,kweli nimeamini bluu ni rangi!!]wenye jukwaaa wakowapi? jukwaaa linaloongozwa na ma rev wawili,rev kishoka njoo utoe maombi meli inazama.rev masanilo najua kasha zima kwa kushambulia pombe kutokana na matokeo mabaya.
[/B] peasant yeye alienda uwanjani ndio kisingizio chake kikubwa sasa sijui kuna foleni kubwa au treni zina run late leo kwa vile jumapili.
invisible yeye wakishinda anakuwa robot anaonekana hapa wakifungwa anachukua status yake ya invisible.
abt(p)ichaz yeye anasusa kuleta pichaz hapa mpaka aone wach1 kaweka lol.
kama kuna mtu nimemsahau yeye aliona mbali toka msimu ulipoanza ndio maana hawaonekani hapa.
I still luv you bro!...Unajua machungu ya kichapo tena. Kuna noma pale nyumbani na wakulu
hawaelewani naswi inabidi tusuburi till the dust settles.
Hata hivyo mimi ni Chelsea for life!!!!
Kuna anayeongea pumba zaidi ya washabiki wa Arsenal, especially Wacha1? Everyone knows Arsenal fans are the most bitter just like their manager.