Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,266
Wakubwa,
Nilikuwa naperuuz kucheki game za Chelsea kabla ya Kristmas, ngoja niziweka hapa
Away to Newcastle – Jumapili hii
At Home with Everton – Dec 4th
Away to Tottenham – Dec 12
At Home with Man U – Dec 19
Ukiangalia vizuri hizi game zote ni ngumu, hakuna game nyepesi hata moja hapa. Majeruhi bado ni tatizo sina uhakika watu hawa watakuwa tayari Alex, Terry, Benayoon, Lampard. Matokeo baada ya hizi games yatatoa picha nzima kwamba je mwaka huu tunaweza kutoka kidedea tena?
Game hizi zinahitaji wachezaji wazoefu, tunajivunia kuwa na vijana wadogo wazuri sana lakini Game za ligi kuu zinahitaji wachezaji wazoefu.
Najipa moyo ingawa moyoni nina hofu kama tutacheza game hizi nne bila hawa wachezaji wetu basi inaweza kuwa zahma.
nilikuwa nawakumbusha tu wana chelsea.
Tunaomba mtupishe kwenye nafasi yetu,mmekaa vya kutoshaWakubwa,

Ukweli hali sio nzuri darajani,kuna bundi ameingiaNasikia Daraja limevunjika jana usiku, ukitilia maanani Mungiki brother amerudi kutoka self-imposed ban na mashabiki kede kede kufurika kwenye daraja. Isitoshe huyu bwana kaamua kubwaga manyanga ....
![]()
Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeee
Ngoma ya watoto haikeshi, 1-1.man utd oyeeee,chelshit keshalaliwa kamooja tu
Ngoma ya watoto haikeshi, 1-1.
Kipindi cha pili watu wanajichukulia point zao 3.
Tehetehe!..asante kwa kutupisha katika NAFASI YETU.....:A S crown-1::A S crown-1::A S crown-1:
hongera mkuu hawa jamaa wanaongeaga uchafu sana.
hongera mkuu hawa jamaa wanaongeaga uchafu sana.