Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

_50298425_010783798-1.jpg

Funga hao mafioso wamezoea kuhonga tu .....

si mliona hata FIFA baada ya Abraham O Vick

kutembeza mpunga khe khe kheee
 
Wenge Musica,

We acha tu, zile dakika 30 za kwanza nilipata mdadi kama ule wa Chadema kabla ya uchaguzi. Kurudi second half, nimefadhaika wala si eti kuchakachuliwa bali ni sawa na lile la kutoka nje ya Bunge na baadae kuanza kudai hatukusema hatumtambui Kikwete.

I tell you Carlo may be the dumbest coach I have seen. Leo unaacha kuweka pace setters wa kufanya Evarton wawe defensive, unaishia kuvuja nyuma. Half time alitakiwa kuleta sura mpya ya Sturridge na Kakuta au kale ka Joshua kama si Zirikov na kumuondoa Kalou na Mikel au hata Drogba maana pace ilipungua.

Kwa nini hamchezeshi Malouda kulia mabako ni more effective halafu ana switch na Sturungi?

What the Fudge!

Camerlengo

Pinga ufisadi hata kwenye soka bana khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeee Nawaangalia kwa chati hapa .... Mungiki brother ambaye self imposed ban haifanyi kazi hawezi ishi Kenya mabomu kila siku utafikiri Iraq baada ya Sadam .... . Peasant, Masanilo aka Kikojozi ingawa chiku hizi ameacha kukojoa hovyo na our dearest leader khe khe kheeeeeeeeeeeee Invisible siyo kama yule wa North Korea anaowapa jamba jamba wamarekani ... ..... ..leo Teachers ipo gado kabatini alamsiki!

Chacha Guadiola vipi? Anakuja lini Darajani? Khe khe kheeeeeeeeeee
 
article-1335646-0C58F4CD000005DC-477_634x456.jpg

Painful: John Terry could not lead Chelsea to victory on his comeback from injury

article-1335646-0C58F6A8000005DC-708_634x379.jpg

Shouting match: Ashley Cole starts the inquest after Everton's equaliser

Invisible na Munguki brother mtakuwepo kwenye inquest kutoa ushahidi? Khe khe

khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Phil-Neville-Everton-Premier-League_2537547.jpg

Toffees skipper Phil Neville celebrates as Jermaine Beckford scores ...

Petr-Cech-Chelsea-Injury-Premier-League-PA_2537548.jpg

Wakuu mnajua tumeisha umbuka tena Romano si alikataa kutoa mpunga ..... ....

Mpunga wote kapeleka kwa mafioso washinde world cup ... ...

Vipi JT mauzo ya unga yanaendeleaje?

Khe khe kheeeeeeee
 
Mmetelekeza jukwaa?
Invisible,Ab Tchaz,Maxence,FARIDA,Wachungaji Masanilo na Kishoka wamekimbia
Bado tu mnahisi kila kitu kipo shwari darajani?
Masaaaaaaa,Rev kishoookaaaaa, Peasanttttttttt na wengine woteeeeeeee kwema?

Painful: John Terry could not lead Chelsea to victory on his comeback from injury
article-1335646-0C58F6A8000005DC-708_634x379.jpg

Shouting match: Ashley Cole starts the inquest after Everton's equaliser
Invisible na Munguki brother mtakuwepo kwenye inquest kutoa ushahidi? Khe khe

khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

...:A S 109:....kheri mimi sijasema, NO COMMENT!
-Ashley Cole's a mole!!!!-, Ssshhhhh...msimwambie mtu!
 
Chelsea boss Carlo Ancelotti worried by slump in form

_50298787_010783965-1.jpg

Ancelotti was frustrated by Chelsea's use of long-ball tactics against Everton

Chelsea boss Carlo Ancelotti felt that his players were afraid during the second half of their draw with Everton. The Blues have taken five points from their last six Premier League games and failed to win in their last four.

"We started to be scared when Everton put pressure on us," said Ancelotti, whose team now play Tottenham, Manchester United and Arsenal.

"This period is not easy but we are close to the top and do not have to be worried as we were in the second half."

The defending champions won their opening five Premier League fixtures, scoring 21 goals in the process, but that form has deserted them and they have slipped to third in the table.

Didier Drogba had put Chelsea in front from the penalty spot shortly before the interval against Everton after an impressive first-half performance.

But the London club faded badly after the break and Everton substitute Jermaine Beckford equalised with a header four minutes before the end of normal time.

"The second half was poor, we did not play how we wanted, just long ball and that is not the way we play," added Ancelotti.

"I am disappointed because we did not play our football. The spirit was good in the first half, we did not have a lot of chances but we worked hard and had good tactical discipline.

"I have to understand why we did not play in the second half. After the break it was totally different.

We were not in control for the second goal - we lost discipline and they could have won the game on the counter attack.

"I am worried yes, because we haven't won a lot of games. The second half was totally wrong. We have to do better."

Chelsea's last top-flight win came against Fulham on 10 November - and they have since lost to Sunderland and Birmingham and drawn against Newcastle and Everton.

"The result was not good, we wanted to win but we are still living in a difficult moment," said Ancelotti of Saturday's match.

"We have to stay focused and use our next game to move on from this period."

Ancelotti's team face London rivals Spurs at White Hart Lane on 12 December, before a home fixture against United the following Sunday.
Chelsea then take on Arsenal in another tricky away fixture on Monday, 27 December.

Everton have not won for six Premier League games and manager David Moyes was disappointed that his team did not pick up all three points at Stamford Bridge.

"Our performance in the second half was terrific and we bounced back after the poor game last weekend," said Moyes, whose team lost their previous match 4-1 at home to West Brom.

"The players showed great attitude and never gave up. The second half we deserved the result. Chelsea had a few chances but then you expect that. It was tough for us in the first-half.

"The quality of our decisions in the final third probably cost us winning the game."

And Moyes challenged his players to continue their improvement in form in the forthcoming games against Wigan, Manchester City and Birmingham.

"We have to prove it because we have not done it often enough. It is not enough for me but it is a start," he said.

"But after last week I am delighted to have come away with a point"

BBC Sport - Football - Chelsea boss Carlo Ancelotti worried by slump in form
 
Khe khe kheeeeeeeee marudi menyewe chichi chinachonga mbele .... khe kheeeeeeee
 
Jamani wapenzi wenzangu wa Chelsea mbona mambo yanakuwa hovyo hivi tumefuliliza kufungwa hata everton nao tuna draw, kulikoni je kocha fake au wachezaji wanamatatizo au Abromavich?
mAmbo yakiendelea hivi heshima itashuka na tutaishia nafasi hata ya kumi wakati ligi inaisha mwakani
 
Carlo needs to shut up, he needed to take Drogba out after 10 minutes of second half and bring Kakuta or Sturungi, to increase pace. There was no need to take Bosingwa out, he might have taken Mikel and bring Joshua in.
 
Ebana ukiiongelea Chelsea unaniumiza weye! Wacha bana, minya tu mwana... Mbona mi sijaongea chochote juu ya Arsenal? Minya babake! .....

beckford_cel_13_28_1177800a.jpg

Beck for Good ... Jermaine Beckford

Aliweza kuwatisha mafioso wakaogopa khe khe khee ......

ancelotti2_1177804a.jpg

Acheni Lote fumes at ''frightened'' Chelsick

Khe kheeeeeeeeeeeeee
 
Suala si kumtoa drogba, suala ni kwa nini timu haichezi dakika 90? Kipindi cha kwanza timu ilifanya vizuri sana, kipindi cha pili kulitokea nini? Je timu haina stamina au ni wasiwasi?
Matatizo kama haya manager lazima uwe makini, ukipoint eti baadhi ya wachezaji hawajitumi tayari unaigiza mgogoro mwingine - Kumbukeni game ya Chelsea na Man U wakati wa Scholari - tulipigwa 3-1 kama sikosei Kocha akamlaumu sana Drogba na kumpeleka reserve timu eti hayupo fit, sasa kipi kilitokea baada ya hapo?

Mimi sikubaliani na wadau wengine ku point baadhi ya wachezaji kwamba hawapo form no ni timu nzima haifanyi vizuri, Angalia Drogba hayupo form, Anelka je? Obi je? - Ashley cole je? Ramires je?

Mimi naona uamuzi wa Kocha kuitaka timu nzima iwe responsible ni sahihi, hakuna aliyecheza vizuri kipindi cha pili, ilikuwa timu tofauti na si chelsea tuliyoizoea kuiona.

Matatizo huwa yapo, ingawa ni kweli game sita point 4 tu kati ya 18 ni hatari sana kwa timu inayotetea ubingwa. Kuna muda wa kufanya marekebisho na kurudi form, tuna game mbili muhimu sana Away na Tonteham na Man U.

Kupoteza game hizo mbili basi tusishangae kuona kocha wetu anaonyeshwa njia ya kutokea. Jingine pia mmiliki wa Club anachangia sana matatizo kama haya kumfukuza kocha msaidizi bila kuwashirikisha kocha mkuu na wengine siyo jambo jema - Hizi pesa zikizidi napo ni matatizo Roman haoni hasara kumtimua Carlo na kuleta mwingine ingawa sisi wapenzi wa Chelsea hatutaki hili kutokea.

Kuna ujio wa Lampard Jmosi - wacha tuone mid hii ya Essien, Lampard na Obi / Malouda kama inaweza kuliokoa jahazi lisizame.

Vivaa CHELSEA!!! (Aminia)
 
Hizo game 2 zijazo muombe sana kwa MUNGI,naona dalili za Carlo kutupiwa virago zinaongezeka
 
Bado tu mnahisi kila kitu kipo shwari darajani?

Masaaaaaaa,Rev kishoookaaaaa, Peasanttttttttt na wengine woteeeeeeee kwema?

CHELSEA_1177782a.jpg

Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Daraja bado limesimama

nimeambiwa limevunjika Je, ni kweli?

...:A S 109:....kheri mimi sijasema, NO COMMENT!
-Ashley Cole's a mole!!!!-, Ssshhhhh...msimwambie mtu!

Duuh! Hapa mmeongoza ligi kwa muda tu kelele kibao, vipi mkichukua ubingwa?! Lini bank holiday inakwisha huko Islington?
 
Camerlengo

Pinga ufisadi hata kwenye soka bana khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeee Nawaangalia kwa chati hapa .... Mungiki brother ambaye self imposed ban haifanyi kazi hawezi ishi Kenya mabomu kila siku utafikiri Iraq baada ya Sadam .... . Peasant, Masanilo aka Kikojozi ingawa chiku hizi ameacha kukojoa hovyo na our dearest leader khe khe kheeeeeeeeeeeee Invisible siyo kama yule wa North Korea anaowapa jamba jamba wamarekani ... ..... ..leo Teachers ipo gado kabatini alamsiki!

Chacha Guadiola vipi? Anakuja lini Darajani? Khe khe kheeeeeeeeeee

....Troll
 
Suala si kumtoa drogba, suala ni kwa nini timu haichezi dakika 90? Kipindi cha kwanza timu ilifanya vizuri sana, kipindi cha pili kulitokea nini? Je timu haina stamina au ni wasiwasi?
Matatizo kama haya manager lazima uwe makini, ukipoint eti baadhi ya wachezaji hawajitumi tayari unaigiza mgogoro mwingine - Kumbukeni game ya Chelsea na Man U wakati wa Scholari - tulipigwa 3-1 kama sikosei Kocha akamlaumu sana Drogba na kumpeleka reserve timu eti hayupo fit, sasa kipi kilitokea baada ya hapo?

Mimi sikubaliani na wadau wengine ku point baadhi ya wachezaji kwamba hawapo form no ni timu nzima haifanyi vizuri, Angalia Drogba hayupo form, Anelka je? Obi je? - Ashley cole je? Ramires je?

Mimi naona uamuzi wa Kocha kuitaka timu nzima iwe responsible ni sahihi, hakuna aliyecheza vizuri kipindi cha pili, ilikuwa timu tofauti na si chelsea tuliyoizoea kuiona.

Matatizo huwa yapo, ingawa ni kweli game sita point 4 tu kati ya 18 ni hatari sana kwa timu inayotetea ubingwa. Kuna muda wa kufanya marekebisho na kurudi form, tuna game mbili muhimu sana Away na Tonteham na Man U.

Kupoteza game hizo mbili basi tusishangae kuona kocha wetu anaonyeshwa njia ya kutokea. Jingine pia mmiliki wa Club anachangia sana matatizo kama haya kumfukuza kocha msaidizi bila kuwashirikisha kocha mkuu na wengine siyo jambo jema - Hizi pesa zikizidi napo ni matatizo Roman haoni hasara kumtimua Carlo na kuleta mwingine ingawa sisi wapenzi wa Chelsea hatutaki hili kutokea.

Kuna ujio wa Lampard Jmosi - wacha tuone mid hii ya Essien, Lampard na Obi / Malouda kama inaweza kuliokoa jahazi lisizame.

Vivaa CHELSEA!!! (Aminia)

Hizo game 2 zijazo muombe sana kwa MUNGI,naona dalili za Carlo kutupiwa virago zinaongezeka

Tutazitumia hizo game 3 zijazo kukata kona na kuweka season yetu kwenye mstari, by new year tukiwa top mmekwisha.
KTBFFH
 
Ebana ukiiongelea Chelsea unaniumiza weye! Wacha bana, minya tu mwana... Mbona mi sijaongea chochote juu ya Arsenal? Minya babake! .....

ancelotti3_1177988a.jpg

Nightmare run .... ... Carlo Acheni Lote

Khe khe kheeeeeee
 
Care of the Drog for Blues

drogba_682_1179064a.jpg

Drogba has turned to little-known 'Fasciatherapy', where patients are massaged and educated .... ..... ...... how will they fare as crunch Christmas period and new year fixture-list looming of Tottenham, Arsenal, Manchester United, Bolton, Aston Villa and Wolves. .... ...

khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
article-0-0C5921DE000005DC-603_634x417.jpg

This isn't going according to plan: Drog the bar and team-mates react

following Everton's equaliser at Stamford Bridge

Khe kheeeeeeee khe kheeeeeeeee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom