eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,400
Good performance
team zitamkomaHili lijamaa sasa hivi kidogo naliaminiNimeamini tunachofikiria sisi kocha anafikiri mara tano yake. Yan nilipoona Batshuayi anaingia tu nikajua tushapoteza.
Ndiye star wa match ya leoEDEN 10 Kiwango chake kimerejea kwakweli
Mnafiki yule moyoni anafurahiaHahaha Diego Costa asije kuwa kama Chamberlain ...maana nmemwona uwanjani .....eti nayeye anasikitika ATL kufungwaa![]()

Nilitaka nimuone Pedro uwanjaniMkuu ulitqka apange ...?
Nakitarajia kile kikosi kilichocheza na stokeMwambieni Gadiolla ajiandaeee![]()
Maana hataachwa salamaa
vipi match ya leo ilikuwa nyepesi? hata kama wewe humuamini nahodha Conte anamuamini ma mechi ya City ataanza kama kawaida.Sio kwamba tunamchukia lakini kwenye match ngumu akae tu benchi
hawaijui Chelsea hao achana nao walimuona Cahill mechi ya Burnley ile basi.Cahili hawwezi kuachwa katika mechi kubwa kama hii. Na sijui mnaomponda mnatumia statistics gani? Mfatilie vizuri
kazi imepigwa makosa ni ya kawaida ktk mpiravipi match ya leo ilikuwa nyepesi? hata kama wewe humuamini nahodha Conte anamuamini ma mechi ya City ataanza kama kawaida.
kazi imepigwa makosa ni ya kawaida ktk mpiravipi match ya leo ilikuwa nyepesi? hata kama wewe humuamini nahodha Conte anamuamini ma mechi ya City ataanza kama kawaida.
halafu kuna wapuuzi humu wanasupport ujinga kama ule kila siku huwa nasema Luiz anaicost timu kwa mambo kama yale ya kitoto na laiti kama angefanya Cahill vile ungeona povu la mashabiki.David Luiz sijui anavuta bange ya wapi huyu jamaa...
vipi na yeye awe anakaa bench au?Kaniudhi sana
mchezaji wakati wote unatakiwa utarajieUle mpira hakutarajia kama utamkuta ..
mchezaji wakati wote unatakiwa utarajieUle mpira hakutarajia kama utamkuta ..