Kwa hii match bakayoko tu ningemchagua![]()
Fabregas vs Bakayoko
Kwa hii match ni zappacosta![]()
zAPPACOSTA VS mOSES
Kwa hii match beki zangu ni luiz,aspiliqueta,rudiger au christiensen cahil tupa kule![]()
Cahill vs Christensen vs Rudiger
Conte alivyo anaweza kuanza na michy kisa tu kuna match na man cityWalau huyu ana uhakika wa kucheza...na anawajua A. Madrid vyema maana kacheza nao misimu miwili kama sikosei
![]()
unaposema cahill tupa kule unakosea sana heshima kwake inatakiwa kubaki pale pale hata kama kiwango chake kimeshuka kwa sasa.Kwa hii match beki zangu ni luiz,aspiliqueta,rudiger au christiensen cahil tupa kule
Tupa kule yaani benchi sina maana nyingine mkuuunaposema cahill tupa kule unakosea sana heshima kwake inatakiwa kubaki pale pale hata kama kiwango chake kimeshuka kwa sasa.
Sio kwamba tunamchukia lakini kwenye match ngumu akae tu benchiYaani kwa kweli leo naomba sana Cahil aanzie bench, maana toka nione uwezo wa Rudiger Cahil akicheza nakuwa sina amani kabisa kabisa
Yeah heshima iko pale pale. Na kiwango sidhani kama kimeshuka ila tu kaonekana mtu bora zaidi yake kwa mfumo tunaoutumia.unaposema cahill tupa kule unakosea sana heshima kwake inatakiwa kubaki pale pale hata kama kiwango chake kimeshuka kwa sasa.