Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

9939af848b26ebfe4e3abf79be1ec1df.jpg
 
mi naangaliaga mechi nyingi za atletico, atletico sahivi wamebaki jina tu ......... leo wanapokea kichapo. Ushindi wao droo.
Midfield yao si nzuri kivile nadhani Kante atajinafasi vyema leo.


Hofu yangu ni wing anayokaba Alonso...Koke ndo anapotokea...

Advantage pia tunayo wing aliyo Felipe Luis kwao ndiyo wing atakayopitia Moses...ni advantage maana ndio upande alioko Azpilicueta hivyo hakutakuwa na hofu sana juu ya Carrasco!

Which ever case, nahisi tuna general advantage kwao kwa ubora wa wachezaji...ni. Wao wenyewe kuamua uwanjani.


Kam kawaida mwendo wa kumuibia mwajiri muda...tutakutana baada ya dk 90!
 
Wakuu kwa anaetaka kucheki mechi hii online fuata taratibu hizi. Nenda google search andika yalla shoot.com, zitakuja mechi kwa kiarabu, chagua lugha English, then gonga mechi ya Chelsea fc na atletico, gonga multiprocessor!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom