chilumendo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 3,241
- 3,939
matumaini yapo makubwa magoli tumekosa mengiAlso hayuko kwenye kiwango hazard anapata mpira mara chache ila still kuna matumain
matumaini yapo makubwa magoli tumekosa mengiAlso hayuko kwenye kiwango hazard anapata mpira mara chache ila still kuna matumain
mbona tumecheza vizuri mkuu tatizo la luis limetugalimuKwa hii team aliopanga conte leo kushinda ni bahati
Kwa pc au hata simu?Wakuu kwa anaetaka kucheki mechi hii online fuata taratibu hizi. Nenda google search andika yalla shoot.com, zitakuja mechi kwa kiarabu, chagua lugha English, then gonga mechi ya Chelsea fc na atletico, gonga multiprocessor!
Ndiyo kwa cm na pc vlvl, kwa ss hv natumia cm! Lkn ndo nimekuwa nacheki mechi nyingi kupitia hawa njia hii, sometyms simu na pc vlvlKwa pc au hata simu?
Mbona haifunguki?Ndiyo kwa cm na pc vlvl, kwa ss hv natumia cm!
Mbona ipo fasta sana. Labda network kwako yaweza kuwa majanga!Mbona haifunguki?
Mi ningepanga hivi aspi,christiensen,rudigerLuiz, Cahili na Azpilicuta. Huwezi kumuacha mtu kama Cahili katika mechi muhimu kama hizi
Baada ya Luiz kuharibu!??Mi ningepanga hivi aspi,christiensen,rudiger
Hii ni match ya kushinda wasizinguetume sawazisha
Kaniudhi sanaBaada ya Luiz kuharibu!??