Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,334
- 23,940
Duh yani kanikera aisee...nimemtukana kimoyomoyo!fabregas kakosa goli la wazi
Anyway, on for the weekend...walete hao Man city...chini ya masaa 72 tuakutana nao.
Duh yani kanikera aisee...nimemtukana kimoyomoyo!fabregas kakosa goli la wazi
Mpira uliochezwa siyo wa dunia hii. Sijui wewe ndg ulikuwa unaangalia mpira gani?Kwa hii team aliopanga conte leo kushinda ni bahati
Hii meski niliandika janaNaamini tutatoka na pointi tatu
Christen bado kijana mdogo hawezi kuhimiri presha za timu kubwa na hasa ugenini ambako mashabiki Wengi si wako. Kuna mechi zinahitaji wakongwe. Christensen ni mzuri piaMi ningepanga hivi aspi,christiensen,rudiger
Still hata Luiz ni mtu mzuri. Kosa ni jambo la kawaida. Tatizo la sisi damu nyeusi tunaogopa makosa ndo maana hatuthubutu kutendaMi ningepanga hivi aspi,christiensen,rudiger
Hatar sana mkuu madogo wameanz sie tumemalizaa....Tumetishaaaaaaaaaaaaaaaaaa woyoooooooooooooooooooooo






Hii meski niliandika jana
Na leo yametimia
sasa Ipi valid kati ya hiyo ya Jana na hii ya wakati mchezo unaendelea? Mashabiki bwana...

Kweli babaaaa kichapo wamepataami naangaliaga mechi nyingi za atletico, atletico sahivi wamebaki jina tu ......... leo wanapokea kichapo. Ushindi wao droo.






Sio madogo wakubwa haoHatar sana mkuu madogo wameanz sie tumemalizaa....

Marata anapiga watu makanzu tuTuna imani na morata
Ila huyu luiz.kuna kitu ana tafuta.mechi ya pili.ana Fanya ujinga.
Hahahaa sawaMpira uliochezwa siyo wa dunia hii. Sijui wewe ndg ulikuwa unaangalia mpira gani?
Ule mpira hakutarajia kama utamkuta ..fabregas kakosa goli la wazi



Marata anapiga watu makanzu tu
.makanzu tu.hauoni magoli?ana goli 7.EPL na uefa.Inabidi aundiwe tume.kama amechoka atuambie.Luiz katuweka roho huenda hata goli tusingefungwa