Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

sio kwamba haiwezekani bali timu yetu imekuwa inapata shida sana inapokutana na atletico kumbuka tunamecheza nao mara nne hatujabahatika kuondoka na point 3
Leo uteja umeisha.....though tumekosa Magoli kama 3 ivi.....ya Hazard liligonga post.....aliyopiga kichwa Morata na ya Faby aliyoshindwa kusukuma kwa mguuu tu.....muhimu point 3.
 
simeoni pole sana tulikuzidi mahali angalia hapa viungo bakayoko,kante,hazard,fabrigas
Kante leo kacheza kama attacking akamuacha Bakayoko nyuma. Nadhani hili Atletico hawakulitarajia...limewaharibia mipango yao.

Mechi ya marudiano, Fabregas benchi tunaanza na Pedro...lazima wapagawe...

Watashindwa kututabiri!
 
..... Pole sana brother japo tulikupenda sana ila kiburi na madharau ndo yamekupeleka hukoo, ... Hahahaaaa!!!?

ac92de56e8c2c25716a74e6348188df8.jpg
6bba02a284a5f831ce36837cecd2594e.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom