Kunguru Mjanja
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 2,047
- 3,978
- Thread starter
- #42,921
Kikosi hapo toa Cahil tu weka Rudiger. Moses mwache aanze ila dk ya 60 weka Zappacosta.![]()
Dailymail wanabashiri vikosi hivi kesho...
Kikosi hapo toa Cahil tu weka Rudiger. Moses mwache aanze ila dk ya 60 weka Zappacosta.![]()
Dailymail wanabashiri vikosi hivi kesho...
Bado najiulizaa mkuu hivi hii ni mechi rahisi kwetu Chelsea au ni mechi ngumu kwao Atletico Madrid ?: Wanda MetropolitanoWalau huyu ana uhakika wa kucheza...na anawajua A. Madrid vyema maana kacheza nao misimu miwili kama sikosei
![]()
Atletico wabovu.tunawapiga Leo.ondoa shaka.wakipona droo.Bado najiulizaa mkuu hivi hii ni mechi rahisi kwetu Chelsea au ni mechi ngumu kwao Atletico Madrid ?: Wanda Metropolitano
...
Leo ndio tunataka kujua Nani anamzuka zaidi ya mwenzake, Ni Conte au ni Simeone Nani ni mshangiliaji bora, Nani ni mchezaji bora kwenye touch line zile za Wanda Metropolitano. Ndio baadae tuwaandike hazard na Carasco....
Na mimi nawait kuona hayo mkuu empireBado najiulizaa mkuu hivi hii ni mechi rahisi kwetu Chelsea au ni mechi ngumu kwao Atletico Madrid ?: Wanda Metropolitano
...
Leo ndio tunataka kujua Nani anamzuka zaidi ya mwenzake, Ni Conte au ni Simeone Nani ni mshangiliaji bora, Nani ni mchezaji bora kwenye touch line zile za Wanda Metropolitano. Ndio baadae tuwaandike hazard na Carasco....
sio kwamba haiwezekani bali timu yetu imekuwa inapata shida sana inapokutana na atletico kumbuka tunamecheza nao mara nne hatujabahatika kuondoka na point 3Ushindi haiwezekani?
wameshinda ngapi hao madogoNimecheki game ya madogo
Ampadu yupo vizuri
inamaana timu ya wakubwa inapocheza vivyohivyo na vijana wanacheza na wenzaoChelsea kashinda 3-1
Cahili hawwezi kuachwa katika mechi kubwa kama hii. Na sijui mnaomponda mnatumia statistics gani? Mfatilie vizuriKwa hii match beki zangu ni luiz,aspiliqueta,rudiger au christiensen cahil tupa kule
Cahili hawwezi kuachwa katika mechi kubwa kama hii. Na sijui mnaomponda mnatumia statistics gani? Mfatilie vizuriKwa hii match beki zangu ni luiz,aspiliqueta,rudiger au christiensen cahil tupa kule
Kwa hii match beki zangu ni luiz,aspiliqueta,rudiger au christiensen cahil tupa kule
Luiz, Cahili na Azpilicuta. Huwezi kumuacha mtu kama Cahili katika mechi muhimu kama hiziKwa hii match beki zangu ni luiz,aspiliqueta,rudiger au christiensen cahil tupa kule
Morata lazima yupoConte alivyo anaweza kuanza na michy kisa tu kuna match na man city
Katika mechi 5 wameshinda 2 tumedroo 2 na win 1. Si watu wa kuogopwa Wala si wa kubeza. Tunatoshana nguvusio kwamba haiwezekani bali timu yetu imekuwa inapata shida sana inapokutana na atletico kumbuka tunamecheza nao mara nne hatujabahatika kuondoka na point 3
Mkuu tumia MobdroWakuu naomba tusaidiane link ya mechi