Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hii link yangu, mpira bado unaendelea (dkk ya 79), wakat livescore.com mpira umekwisha na matokeo ni moja bila. Naofia isije live score imekosea, jamaa wakasawazisha.....Pole wakuu, here we go...tuangalie next matches
 
Matanga yanaendelea sijui yataisha lini khe khe khe kheeeeeeeeeeeeee. Jamani tupo msibani hapa wenye unoko waende kwa michuzi blog khe kheeeeeee.
 
Arsene Wenger, Baba Mkubwa naona wameniondolea kibonyezo cha sanks lakini sio tabu Thanks guys naona kuna hati hati maintanance ipo karibu naona sura ya Invisible siyo nzuri tahadhari: Hatari!
 
Carlos-Tevez-Man-City-Chelsea-Premier-League_2507275.jpg

Take that! .... .... ..khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Invisible, Peasant, Eqlypz, Rev. Masa, Rev. Kishoka and all blues poleni kwa kipigo, hawa pensioners wenu kumbe wanachoka haraka mno, ni kwamba dakika zao ni 60 baada ya hapo wanakufa kabisa!!! Haya anzeni kufunga mikanda and enjoy the ride, it's gonna be one bumpy ride.:becky::becky:
 
Carlos-Tevez-Man-City-Chelsea-Premier-League-_2507280.jpg

Tevez bags his sixth goal in five Premier League appearances against Chelsea.

Niliwaambia mtanikoma .... ...
 
Ligi imeanza ,natamani next week iwe ManU VS Chelsea
 
In order to be the champion, you need to beat the rest not only Chelsea by the way!!
 
In order to be the champion, you need to beat the rest not only Chelsea by the way!!
Not forgetting you need to beat worthy opponents sio mediocre teams zinazogombania kutoshuka daraja. Huo msemo wako unafaa sana kuwaambia Chelsea sio timu nyingine.
 
Not forgetting you need to beat worthy opponents sio mediocre teams zinazogombania kutoshuka daraja. Huo msemo wako unafaa sana kuwaambia Chelsea sio timu nyingine.
We made doubles againts all big three last season, we lost twice against Citeh, and you surely know who're the champions.
 
Invisible, Peasant, Eqlypz, Rev. Masa, Rev. Kishoka and all blues poleni kwa kipigo, hawa pensioners wenu kumbe wanachoka haraka mno, ni kwamba dakika zao ni 60 baada ya hapo wanakufa kabisa!!! Haya anzeni kufunga mikanda and enjoy the ride, it's gonna be one bumpy ride.:becky::becky:
Duh mjomba mie sio mshabiki wa rentboys nitake radhi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom