Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

franklampardandchristine_2505078.jpg

An injured Frank Lampard enjoys Chelsea's win alongside his dad and girlfriend.

Huu ulikuwa mkao wa kutoka kuiba kwenye super markets tu, si unaona wanavyofurahia matunda ya wizi?

Naona matanga yanaanza taratibu.

Chelsea 10 - 1 New Castle ... ...... .....

More to come...... Padri bandia upo au umekuwa Invisible? Vipi Mungiki brother atatokea leo au basi ndio msiba umeingia? Au basi yaishe hili ni kombe la mbuzi ... .... but at what cost?
 
Kama hawa watoto mnaowachezesha leo ndio future players wa Chelsea baada ya current players kuretire then timu pinzani tusherekee tuu.
 
Chelsea 10 - 1 New Castle ... ...... .....

More to come...... Padri bandia upo au umekuwa Invisible? Vipi Mungiki brother atatokea leo au basi ndio msiba umeingia? Au basi yaishe hili ni kombe la mbuzi ... .... but at what cost?

Chelsea 3 Newcastle 3
 
Khe kheeeeeeeeeee Ameobi huyooooooooo Man City anawasubiri weekend.
 
A star is born at Stamford bridge dogo huyu Josh McEachran ni balaa and is only 17
 
Man City nao wamefungashwa...kombe limeshachanganya kwenye raundi ya mwanzo kabisa hili!! cup upsets!!!!
 
toon-splash_1130996a.jpg

taylor_13_280x390_1130938a.jpg

RYAN HIGH ... Ryan Talyor celebrates his strike

taylorgoal_2506295.jpg

Ryan Taylor celebrates his free-kick strike against Chelsea.
 
toon-splash_1130996a.jpg

taylor_13_280x390_1130938a.jpg

RYAN HIGH ... Ryan Talyor celebrates his strike

taylorgoal_2506295.jpg

Ryan Taylor celebrates his free-kick strike against Chelsea.

....eehhhh??? eti nini???
 
article-1314361-0B4F1D28000005DC-502_634x421.jpg

Two much: Ryan Taylor scores his second
 
article-1314361-0B4F19D2000005DC-430_634x418.jpg

Slippery slide: Campbell challenges Anelka
 
article-1314361-0B4F636D000005DC-677_634x358.jpg

Last-gasp: Ameobi (hidden) scores the winner
 
The sucker punch from Ameobi

Jamaa walianza kumtukana Mamba kabla ya kuvuka mto .... ...... .. Chelsick walichelewesha mpunga ndio kisa cha kunywa maji machafu .... ..
 
Jamaa walianza kumtukana Mamba kabla ya kuvuka mto .... ...... .. Chelsick walichelewesha mpunga ndio kisa cha kunywa maji machafu .... ..
[/SIZE]

...aha ha ha haaaahhhaa !
 
Kweli usimtukane mamba kabla ya kuvuka mto, juzi Drogba kaulizwa kama wanaweza kushinda quadruple akajibu "why not" taratibu mnaanza kukutana na vizingiti.
 
Mchungaji Masa na convoy lote la darajani, poleni sana. Ndo mpira huo
 
vanaanholtgoal_2506287.jpg

Patrick Van Aanholt celebrates the opener for Chelsea against Newcastle
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom