Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea 10 - 1 New Castle ... ...... .....

More to come...... Padri bandia upo au umekuwa Invisible? Vipi Mungiki brother atatokea leo au basi ndio msiba umeingia? Au basi yaishe hili ni kombe la mbuzi ... .... but at what cost?

Ten men Chelsea are out, set peace hiyo

4-3

Haya mchungaji!! Hilo mnalo hilo!!

Man City nao wamefungashwa...kombe limeshachanganya kwenye raundi ya mwanzo kabisa hili!! cup upsets!!!!

....eehhhh??? eti nini???

Kombe la mbuzi hili watu watoana macho

Mchungaji Masa na convoy lote la darajani, poleni sana. Ndo mpira huo

It's all about giving Fat Arse a chance of winning at least something this season.......ooh wait, Manure are still in it, bad news for Fat Arse Chavettes.
 
80_sho_13_280x390_1131211a.jpg

 
WAY TO SHO ... Ameobi celebrates
 
CARLO ANCELOTTI'S Chelsea suffered a double injury blow as Shola Ameobi KO'd their Carling Cup hopes.
Salomon Kalou, on as a half-time sub, was carried off clutching his hamstring on 54 minutes.
And he was followed to the treatment room nine minutes later by Yossi Benayoun who seemed to have a groin problem. Both are serious doubts for the Premier League clash at Manchester City on Saturday. Boss Carlo Ancelotti said: "I don't think Kalou will be available for the next few games. Benayoun also has a massive problem. Both need more time to rest."


Sizitaki mbichi hizi.
 
It's all about giving Fat Arse a chance of winning at least something this season.......ooh wait, Manure are still in it, bad news for Fat Arse Chavettes.

ha ha ha! Peasant hebu msome Wacha1 hapa chini...



80_sho_13_280x390_1131211a.jpg


 
WAY TO SHO ... Ameobi celebrates
 


Sizitaki mbichi hizi.
 
ha ha ha! Peasant hebu msome Wacha1 hapa chini...
Sio case ya sizitaki mbichi, tumefungwa na tumetolewa kwenye Carling cup fairly. Hatujawahi kudharau kombe lolote ndio maana tunaweka timu inayoeleweka uwanjani. Hiyo ya "sizitaki mbichi hizi" ni excuse ya Arsenal miaka yote kwenye Carling cup ndio maana walikuwa wanachezesha watoto ili hata wakifungwa wanasema hawalitaki kombe, lakini mwaka huu Wenger kagundua Carling is the best and the only chance ya Arsenal kupata silverware ndio maana kapanga timu ya kwanza against Spurs. It's the best chance kwa Arsenal kwa sababu timu kubwa zote (Chelsea, Liverpool, Man City, Spurs na Everton) zimetoka, hivyo naweza kusema Arsenal ni second favourites after Man United....kazi kwenu....mkiacha kulialia na kucheza mpira mnaweza kuwa mabingwa wa Carling cup mwaka huu, a silverware after six years, come on Farty Arse, hahaha!!:smile-big:
 
Sio case ya sizitaki mbichi, tumefungwa na tumetolewa kwenye Carling cup fairly. Hatujawahi kudharau kombe lolote ndio maana tunaweka timu inayoeleweka uwanjani. Hiyo ya "sizitaki mbichi hizi" ni excuse ya Arsenal miaka yote kwenye Carling cup ndio maana walikuwa wanachezesha watoto ili hata wakifungwa wanasema hawalitaki kombe, lakini mwaka huu Wenger kagundua Carling is the best and the only chance ya Arsenal kupata silverware ndio maana kapanga timu ya kwanza against Spurs. It's the best chance kwa Arsenal kwa sababu timu kubwa zote (Chelsea, Liverpool, Man City, Spurs na Everton) zimetoka, hivyo naweza kusema Arsenal ni second favourite after Man United....kazi kwenu....mkiacha kulialia na kucheza mpira mnaweza kuwa mabingwa wa Carling cup mwaka huu, a silverware after six years, come on Farty Arse, hahaha!!:smile-big:

...haya bana, mtutakie na mafanikio mema basi.
 
Sio case ya sizitaki mbichi, tumefungwa na tumetolewa kwenye Carling cup fairly. Hatujawahi kudharau kombe lolote ndio maana tunaweka timu inayoeleweka uwanjani. Hiyo ya "sizitaki mbichi hizi" ni excuse ya Arsenal miaka yote kwenye Carling cup ndio maana walikuwa wanachezesha watoto ili hata wakifungwa wanasema hawalitaki kombe, lakini mwaka huu Wenger kagundua Carling is the best and the only chance ya Arsenal kupata silverware ndio maana kapanga timu ya kwanza against Spurs. It's the best chance kwa Arsenal kwa sababu timu kubwa zote (Chelsea, Liverpool, Man City, Spurs na Everton) zimetoka, hivyo naweza kusema Arsenal ni second favourite after Man United....kazi kwenu....mkiacha kulialia na kucheza mpira mnaweza kuwa mabingwa wa Carling cup mwaka huu, a silverware after six years, come on Farty Arse, hahaha!!:smile-big:
Watch this space! Arsenal are taking over now and apart from ManCity I can't see anyone to stop us now for at least 5 more years to come! Ukweli unabaki kwamba Premier League hela imekauka na soon kutakuwa na level playing field, Arsene kama mchumi aliona mbali juu ya mustakbali mzima wa premier league na ndio aliweka mikakati ya spend within the limit and develop instead of buying, na ndio ukaona Arsenal wana quality production line kushinda timu yoyote ile kwa Europe seuze England. Ukiachilia Man City timu zote zilizobakia choka mbaya.
So far this season hakuna big impact signing by ManU or Chelsea, angalia usajili mwaka huu hakuna jina kubwa kwenye premier labda mancity (Villa, Boetang, Toure etc)
Chelsea kwa vile Abramovich ameagoma kuendelea kumwaga hela inabidi tu wategemee pensioners akina Drogba, Anelka, Lampard, Terry and co, ukiondoa 16 1st team squad members waliobaki akina Sturidge ni mtelezo tu, ManU nao ndio yaleyale sijui wamesaini kid from Mexico with no name? lakini Gunners wana vikosi 2 kamili, na ukichukulia season is too long na injuries the writting is already on the wall! Chelsea,Liverpool and ManU wanakufa kifo cha chura kwa madeni , uhaba wa fedha ya kununua wachezaji,lack of quality in depth on squad, etc.
Kwa upande mwengine Arsenal wako stable bila kutegemea tajiri na hata wasiposajili ( ukiachilia nyanda) wako na vijana kibao in production line ambao ni premiership quality,hebu rudi na uangalie Spud v Arsenal na kama wewe ni football guy (unazi aside) angalia vizuri "ball control and quality" ya Arsenal reserve utajua kwa nini tuna kila sababu ya kukenua meno, ngebe na majivuno ya Chelsea and Utd are all but finish, starting from Saturday at Eastlands. Usije ukatukimbia tu jumamosi.
 
Wakuu matanga yanaisha lini? Kuna habari kwamba Disney wamewageuzia kibao wanaelekea kwa Citeh! sijui mtabaki na nani? Labda muwatongoze Manure wawaazime Nani wao. Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeee.
 
Hehehe Kweli anasema weka unazi pembeni wakati yeye mwenyewe anaongea kinazi, kazi ipo. On the other hand hao Man City mnaowapa nafasi tayari kocha wao ameshaconcede kuwa Chelsea watachukua ubingwa lol..!!
 
Wakwere wa Chelsick wameunyuti khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeee.

Wamebaki kuchungulia tu hawana imani na timu yao ya vikomgwe..
 
Kuwa na heshima dogo!

Sasa leo hakuna visingizio mwaka jana mlisema wapambe wenu waliokwenda kupeleka mpunga walipotea njia leo hakuna tena sababu either mpunga mmetoa au mmefilisika na recession, vipi fweza za kuuza unga na wizi zitatosha?

Namuona Invisible anaangalia kwa chat ... Vipi mkuu mzima? Umeandaa Teachers kutoka India?
 
Leo tumezidiwa. Terry ni mchovu!

Recession mbaya si unaona fweza haikutolewa na bado mmebebwabebwa kwa sana tu shukuruni Mataliano hawana hiyana. Naona vijana wote wenye fujo za udaku kazi yao kuchungulia tu leo. Wapi Taliban supporter, Invisible padri uchwara aliyepigwa marufuku kukojoa hovyo na yule peasant asiyetaka kulima?
 
_49245747_tevez_ap.jpg


Sucker punch Happy birthday Mum hio ndio message ya Tevez
baada ya kuwakwangua Chelsick timu ya pensioners


Khe khe kheeeeeeeeeeeee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom