Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Duu nadhani Anceloti alete vijana sana ! kakuta, Borini, Sturridge and others
 
Sijui kwanini hatujafunga 8-0 mpaka sasa!!

...haki ya nani safari hii mnauwezo kabisa wa kuchukua ubingwa by Christmas,

yaani ndio nazidi kuwachukia hiyo timu yenu aisee...I hope itatokea timu mojawapo iwafunge kutufutia machozi, otherwise sijui nitaiweka wapi hii sura yangu msipopoteza hata game moja msimu huu! I really hate Chelsea aisee,

....zamani i was ok enzi za kina George Weah na zama za kina JF Hasselnbaink, lakini kina Drogba, Terry, Lampards na Cole wanaudhiiiiiiiiiiiiii!!!
 
Mwaka huu! Balaaa haya njoni nanyi Blackpool

Onea buji timu zenyewe vibonde Blackpool, West Ham, Stoke, Wigan na West Ham. Wasiposhinda hizo mechi watashinda zipi? Khe khe khe kheeeeeeeeeeeee.

Na mwaka huu mlie tu Abraham O Vich ameshasema hakuna mpunga zaidi Chacha chijui ule uuzaji unga utaweza kweli kufika May?
 
Pumba!
 
Nilijua tu utakurupuka kama pimbi aliyefurumushwa na simba. Sasa hapo juu ni timu gani ya maana mliyocheza nayo?

Acha ushoga wewe! Nina wasi wasi na intellectual ability yako! Pumbavu, Sunderland walifanya nini?
 
Khe khe khe ustaarabu umekushinda sasa unaporomosha mitusi tu khe khe kheeeeeee kwa sababu ya ukweli, ukweli siku zote unauma tena kwenye nfupa. Kikojozi ustaarabu nimekufundisha mimi tangu nilipokupiga marufuku kukojoa hovyo hadharani. Angalau unakubali kwamba Sunderland ni bora kuliko vitimu ulivyocheza navyo. Karibu sana ingawa mwaka huu fweza inawapiga chenga na Abraham O Vich keshatoa onyo hivyo elewa kitu kimoja mwaka huu kila mtakapoibuka na timu kabambe mnakula mkong'oto. Khe khe kheeeeeeeeeeeee.
 
_49164544_kalou_one_gett766.jpg

franklampardandchristine_2505078.jpg

An injured Frank Lampard enjoys Chelsea's win alongside his dad and girlfriend.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom