Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea Bingwa tena, kwa mpira mzuri sana leo, isingekuwa majanga ya Kadi basi tulikuwa tushinde kwa kishindo hii leo, lingine wale wakosoaji wa Morata leo kawasalimu, one goal one assist, what a performance for a very short time of play. Game tatu zijazo zitakuwa ngumu but baada ya hapo ni mwendo wa Lami to the top.
Bila kusahau three new signings very shortly.

Sent using Jamii Forums mobile app
Chelsea walikuwa wanacheza na vibonde Burnley sio United,City au Spurs na game ilikuwa Stamford Bridge,kama wasiposajili at least wachezaji 3 hata top 4 msahau
 
Chelsea walikuwa wanacheza na vibonde Burnley sio United,City au Spurs na game ilikuwa Stamford Bridge,kama wasiposajili at least wachezaji 3 hata top 4 msahau
Eti ndo wanaenda na hao wachezaji UEFA si watapigwa 10 kama asernal..???
 
Yaaani Mimi mwenyewe refa sijamsoma kabsa, alikuwa na hasira sana dhidi yetu toka mapema kabsa!

Pogba wa tz nchi imekushinda!

Sheria sasa hivi ni kali sana, na zile rafu zilikua mbaya sana. Mtu unacheza rafu unapiga makofi halafu unalalamika refa hakua upande wenu?
 
-Mechi 3 zijazo zitakuwa ngumu sana kwetu, itabidi tukaze mkanda
-Morata anatakiwa aanze, conte shall swallow his own pride wamalizane na costa wasaidiane kurudisha heshima ya chelsea
-Pedro, moses na hazard ndiyo roho ya chelsea na hilo limedhihirika leo
-Refa alijitahidi kuumudu mchezo ila bado alikuwa anateleza, kuna baadhi ya maamuzi kawa mwepesi sana kuyaamua
-Chelsea bado ni timu bora, from 0-3 to 2-3 with 2 men down, meen give us a break...

Hayo maneno hayana maana!! Cha msingi mmepigwa!!
 
06ae1c146056014ae8e683486953c1fc.jpg
 
Sheria sasa hivi ni kali sana, na zile rafu zilikua mbaya sana. Mtu unacheza rafu unapiga makofi halafu unalalamika refa hakua upande wenu?
Pale fabregas hakufanya sawa, ilionekana ni kama dharau kwa mwamuzi kupiga makofi. Anyway its just a bad game, not a bad season. I hope baada ya mechi 2 chelsea itarudi kwenye ubora wake.
Ila kwa mwezi huu nawaomba mashabiki wenzangu tufunge mkanda, next week will be a lot more worse than today.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom