Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

-Mechi 3 zijazo zitakuwa ngumu sana kwetu, itabidi tukaze mkanda
-Morata anatakiwa aanze, conte shall swallow his own pride wamalizane na costa wasaidiane kurudisha heshima ya chelsea
-Pedro, moses na hazard ndiyo roho ya chelsea na hilo limedhihirika leo
-Refa alijitahidi kuumudu mchezo ila bado alikuwa anateleza, kuna baadhi ya maamuzi kawa mwepesi sana kuyaamua
-Chelsea bado ni timu bora, from 0-3 to 2-3 with 2 men down, meen give us a break...

Sent using Jamii Forums mobile app
But unasahau Chelsea imefungwa Stamford Bridge na Burnley timu iliyonusurika kushuka daraja msimu uliopita
 
Msimu mpya mkuu wote tunaanzia zero
391356e4f3c80bff9d6c55269904c8ca.jpg
 
Wachezaji gani ambao wame-underperform? Chelsea imekamilika upande wa mabeki kuliko timu yoyote ya EPL. Tunahitaji tu mtu wa kushika namba ya Bakayoko ambaye bado hajawa fiti kwa ajili ya mechi. Na wing back zinahitaji mtu mmoja wa kuleta ushindani au akisajiliwa beki(say van Dijk) basi Luiz anaweza kucheza kama defensive midfielder au Azpilicueta akacheza kama Wing Back. Mbele pale Morata anatosha sana. Na Hazard na Pedro wakirudi basi ndo sipati picha hii timu itakuwaje. Shida itabaki kwa kocha maana atachanganyikiwa kupanga kikosi chache. Maana sasa nani atakaa benchi? Willian? Fabregas? au nani? Hapo kumbuka vijana Boga, Musonda, na Christen bado wako benchi pamoja na Batshuay.

Kijana kitambue vizuri kikosi cha Chelsea ndo uje kukizungumzia

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom