zinc
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 1,391
- 1,069
Pambana na hali yako uliyonayo. Usiishi kama mchawi. Maana we unajifanyaga bingwa wa ku analyze vikosi vya wengine. Sasa c morata aingie
Sent using Jamii Forums mobile app
Pambana na hali yako uliyonayo. Usiishi kama mchawi. Maana we unajifanyaga bingwa wa ku analyze vikosi vya wengine. Sasa c morata aingie
Pengo liko wazi kabisa yaani, Fabregas ni pass master ila anampa mzigo mkubwa sana KanteMkuu umeona pengo la Matic lakini??? Ngolo kante anazunguka tu masikini. Fabregasi naona anampa jamaa mzigo tu hapa
Dalili ya mvua.......
Haya mambo yapo bongo tu, laana kitu gani bwana.Laana ya Costa kivipi?, yaani timu haina uwezo wa kumwacha kchezaji yoyote kwa kuogopa laana?, Mwalimu kasema hawezi kufanya kazi na Costa kwa vigezo vyake kama Mwalimu, wewe uku huku Tanzania unazungumzia mambo ya laana
Mkuu umemsahau huyu kiumbeChelsea bila Hazard na Costa ni Sanderland
Ataingia tu usijali mkuu...Pambana na hali yako uliyonayo. Usiishi kama mchawi. Maana we unajifanyaga bingwa wa ku analyze vikosi vya wengine. Sasa c morata aingie
Sent using Jamii Forums mobile app
Shida hata siangalii mechi...huku Huwaii ni saa kumi usiku mkuu...nipo tu livescore so siwezi kuongelea hizo red na yellow.Hahahaha tunasubiri Excuses za Conte maana naye kashaanza kuleta zile za Mourinho za kulalamikia uchezeshaji wa marefa pindi wachezaji wa Chelsea wanapopigwa RED... Chelsea hadi sasa mnasababisha Arsenal asiwe kileleni.
Inakuwaje mkuu? Usicheke sana kesho mtaloweshwa nyinyi...
naona watu wa manure mmetia kambi msibani leoNakuonea huruma mtoto mzuri