Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Majeruhi wengi. Kikosi bado kinahitaji wachezaji wengine wapya. Kwa game km ya leo kupata ushindi ni kazi kwa sababu wachezaji psycholigically they are not ok. Labda suluhu otherwise mpira dakika 90.
 
Hivi vitimu vyingine sio vya kuaminika. Burnley wanaweza kushindwa kulinda magoli yao wakaishia kudraw au kufungwa. Weekend ilikuwa inaelekea kunoga baada ya Liverpool kudraw,Chelsea kufungwa
 
Mpira ulishaisha kipindi cha kwanza mkuu
 
Hivi vitimu vyingine sio vya kuaminika. Burnley wanaweza kushindwa kulinda magoli yao wakaishia kudraw au kufungwa. Weekend ilikuwa inaelekea kunoga baada ya Liverpool kudraw,Chelsea kufungwa

Mkuu endelea kupiga viroba vyako kwa raha zako, kwanza vimeruhusiwa, Liver kadraw, Chelsea kakalia misumari ya inch sita si rahisi kuichomoa, wewe uko juu unaongoza ligi.
[HASHTAG]#WengerIn[/HASHTAG] au sio.
 
Nilisema Cesc alikuwa anaichungulia RED.Burnley wasipoweza kuondoka na Ushindi hawatakuwa na haki ya kubaki PL next season.
 
Majeruhi wengi. Kikosi bado kinahitaji wachezaji wengine wapya. Kwa game km ya leo kupata ushindi ni kazi kwa sababu wachezaji psycholigically they are not ok. Labda suluhu otherwise mpira dakika 90.
hhahahahahahaaaa naona daraja linapasuliwa kwa bua!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom