suley hazard
Member
- May 19, 2014
- 61
- 116
Hahahah, mkuu naomba uniache nipumzike.Hayo maneno hayana maana!! Cha msingi mmepigwa!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah, mkuu naomba uniache nipumzike.Hayo maneno hayana maana!! Cha msingi mmepigwa!!
Hahahah ni kweli kabisaa...ujanja kushinda ligi sio kushinda mechi moja!Sisi mashabiki wa Chelsea tunasema hii ni mechi ya Pre season
Arsenal wasindikizaji.wenye kombe lao new castleView attachment 564139anawatakia usiku mwemaaaaa....hahahahahah arsenal for lyfe
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ww ni mpiga ramli auChelsea wasipoangalia watamaliza mechi wakiwa wachezaji 9 uwanjani. Naona RED inamnyemelea Cesc.




Ahsante mkuu. Although tumefungwa ila ninafuraha moyoni. Kijana mliyekuwa mnambeza kafanya yake 1 goal 1 assist and 1 offside goalPoleni sana Chelsea..
Sisi washabiki wa MUFC tu wastaarabu, hatishangilii msiba ila tunatoa pole!



. Siku Hazard na Bakayoko wakirudi naamini kiherehere chenu mtatia uvunguni. Well done morata Chelsea wasipoangalia watamaliza mechi wakiwa wachezaji 9 uwanjani. Naona RED inamnyemelea Cesc.


halafu mtu anasema refa kawaoneaNatamani ule mzimu wa lecester city msimu uliopita uwapate mpate akili!!
Tulia mkuu. Ulisema Morata hatafunga hata goli moja. Sasa umeanza kuweweseka subiri timu yako keshoEti ndo wanaenda na hao wachezaji UEFA si watapigwa 10 kama asernal..???![]()
Eti ndo wanaenda na hao wachezaji UEFA si watapigwa 10 kama asernal..???![]()
Hiyo body ya Chelsea Kuna jipu la kiafrika hapo...Binafsi naona hii ni nzuri kwetu ili bodi isikilize kocha anataka nini.
Sina tatizo na kadi zilizotolewa ila refa kafanya haraka sana kutoa nyekundu kwa sababu hakuna alietoka kwa kuumia kwa upande wa burnleyMkuu tuache unazi. Kadi zote nyekundu ni halali kabisa.
Unaona raha kesho tutakuonaEti ndo wanaenda na hao wachezaji UEFA si watapigwa 10 kama asernal..???![]()
Aiseeeeee, namuwaza Nemanja Matic tuu...Chelsea tutapoteza match 3 zijazo
Sio mchawi ila fabrigas nyekundu cahil nyekundu
Hazard bakayoko Pedro majeruhi
Nini kinafuata hapo unadhani