Leo umekubali sioAll in all Morata ni mchezaji mzuri sana. Jamaa kaleta sana uhai kule mbele. Sincerely hongereni Chelsea kwa kulamba jembe.
Leo umekubali sio
Conte anatakiwa kumwanzisha aachane na batshuay

Yaaani Mimi mwenyewe refa sijamsoma kabsa, alikuwa na hasira sana dhidi yetu toka mapema kabsa!Sijui kwa sababu tumefungwa lakini naona kama waamuzi hawapo upande wetu kabisa
Najuuliza anacheza nani wakati Fabregas ana nyekundu na hatuna kiungo mwingineChelsea tutapoteza match 3 zijazo
Sio mchawi ila fabrigas nyekundu cahil nyekundu
Hazard bakayoko Pedro majeruhi
Nini kinafuata hapo unadhani
Kabisa, Hazard akirudi na Pedro pale mbele patakuwa vizuri sanaLeo umekubali sio
Conte anatakiwa kumwanzisha aachane na batshuay