Sawa muache kulia lia sasa , mjikazee ha haHakuna mwanzo wala nini leo tu, siku nyingine zitakuwa za kubahatisha tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa muache kulia lia sasa , mjikazee ha haHakuna mwanzo wala nini leo tu, siku nyingine zitakuwa za kubahatisha tu
Kesho tujiandae kisaikolojia maana kuna watu wataamka na hasira mbayaaaaa!!!Tulale mamy. Ila tukilala ndiyo wanakuja ha ha ha wafiwa wana hasira kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna anaelia hapa. Mwanaume akipatwa na msiba macho huwa mekunde basi, baadae anajipanga upya.


Ha ha ha ha ha ha Namtetea kwa kweli, mnazi mmoja mzuri sana huyo
Ha ha ha ha Kunguru Mjanja atatuteteaKesho tujiandae kisaikolojia maana kuna watu wataamka na hasira mbayaaaaa!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha ha ha ha! Wala mimi ndo kwanza nitakuwa nachochea kuni muendelee kukaangwa tu.
Ha ha ha usiteseke kuulizia.Hii yawezekana pia..
Ha hahaha sisi tupo mbona . EPL Imeshaanza kunukia ndiyo maanaHa ha ha ha ha ha! Wala mimi ndo kwanza nitakuwa nachochea kuni muendelee kukaangwa tu.
Mpaka sasa najiuliza mmetokea wapi ghafla hivi
Mimi nilisha kwambia siwezi kuchukia. Hii ndio aina ya utani niupendao. Nataka unipe changamoto ili nikiona comment yako najipanga cha kuandika. Kwa nn nichukie mtu ambaye hata hatujuani. Nipe changamoto za maana ndio ushabiki ninao upendaHa ha ha usiteseke kuulizia.
Mimi ni Shabiki wa Manchester united..
Red devil.
Mtoto wa OT.
Ni shabiki kitambo sana, tangu Nina miaka 9.
Na kuhusu kuwepo kwenye huu Uzi nipogo sana tangu 2014 na nitaendelea kuwepo.
Na hivi ndivyo nilivyo na msimu mzima nitakuwa hivi hivi.
BTW simchukii mtu, na nipo hapa Ku enjoy tuu.
Kama utakuwa haupendi au unachukia pole, ila ndiyo hamna namna.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie nitawatafuta jumanne tu, subiri vya kwenu
Inaonyesha ww huyo Conte umemuona Leo tuu na mbinu zileUkweli ni kwamba kikosi ni finyu sana na msimu huu mashindano ni mengi sana Chelsea inashiriki halafu sidhani kama Conte ni mzuri wa kimbinu hapo ndo timu inaposhindwa kotekote.
Kazi kwelikweli mkuuMkuu game imepotelea sehemu mbili tu. Najua wanatusaidiaga sana ila upande wa Alonso na Fabregas ndio waliopotea. Kante akajikuta anazunguka kila sehemu tu.
Alonso alikuwa anang'ara nadhani kutokana na Hazard anavyomsaidia kuwa rudisha nyuma mabeki, ila bila Hazard anapoteana sana mechi zote toka pre season. Fabregas amekimbizwa sana katikati pale Xhaka na Elneny wamemzungusha sana.
Bila kupata mbadala mzuri wa Alonso na kupata kiungo Mwingine anaeweza kucheza box to box na kuwekeana misuli kweli, maana hatutegemei Bakayoko na Kante kucheza mechi zote basi msimu huu hakuna chetu hata kodogo.
Laiti kama wangeshinda sijui hayo mashaka yako ungekuwa nayoHichi kikosi chetu kinatia mashaka sana. Sjui msimu huu tutakuwajee
Sent using Jamii Forums mobile app
Ligi ikianza watu watapoteana humuHata ligi haijaanza ndo mashambulizi ya mamluki yanakuwa hiv...! Je ikianzaa itakuajee? ? Thijuiiiiii yangu machoo![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
mie natoa pole kutoka kwenye mtima wa moyo wangu, pole sana.Duh watu mmelisogeza gurudumu...
Haya bana tumepokea pole na kejeli zenu.
We will be back next weekend kulitetea taji letu.
Sent using Jamii Forums mobile app