Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Siwezi kumjudge kwa match moja mpaka acheze nusu msimu

Mkuu mbona kauli zako zimekuwa za kinyonge sana baada ya mechi ya jana? Hebu onesha mbavu kama yule mchezaji wa Arsenal aliyesawazisha.

Anyways, Morata mzuri sana ila atahitaji muda ku-cope na mazingira.
 
Niko fiti kama morataa
 
Mmmh ila mimi sina imani na Morata yaani ile mikiki ya EPL sijaona kama ana mbafu za kutosho kuhimili either itambidi achukue muda kidogo au atakua majeruhi mara kwa mara. Namuombea mafanikio mema
Shabiki wa Chelsea alieona mbali

Sent From My Nokia Ya Tochi
 
endelea kufukua hadi ulikute kaburi la ''lukaku''.
time will tell about MORATA.
MORATA hata asipofunga mimi huwa na furaha tu akiwepo uwanjani tofauti na costa aliyekuwa haipendi team yetu.

Costa mpambananji wewe uyu Morata mtoto wa mama hawezi mikiki ya EPL kosa kubwa sana kuwaacha Costa na kuruhusu Matic aende Man u hapo tutafute top 4 tu
 
endelea kufukua hadi ulikute kaburi la ''lukaku''.
time will tell about MORATA.
MORATA hata asipofunga mimi huwa na furaha tu akiwepo uwanjani tofauti na costa aliyekuwa haipendi team yetu.
Hahahaha yamekuwa hayo tena

Sent From My Nokia Ya Tochi
 
endelea kufukua hadi ulikute kaburi la ''lukaku''.
time will tell about MORATA.
MORATA hata asipofunga mimi huwa na furaha tu akiwepo uwanjani tofauti na costa aliyekuwa haipendi team yetu.
Mbona unapoteza muda mkuu kuwajb, huyo morata mwenyew hat kucheza bado hajacheza, penalt anakosa Mess!!!. Msimu unaanza wenyewe watapoteana humu .........huyo Costa kama mzuri sana mbn mpaka sahiv hajanunuliwa

Usipoteze muda wako mkuu.
 
Tatizo huu uzi ni wetu wana wa Darajani ila ajabu sijui wakuda wengine wanatoka wapi na kuponda wachezaji na timu yetu.Binafsi sijawahi ingia wala kuja ingia uzi kama wa Man United.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom