Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

This msimu ni .
Team itakayopoteza ni halali yetu.
Nilikumisss kinoumer kila siku nachungulia profile naona last seen ya muda mrefu nikasema itakuwaje huh msimu jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuja partner yaaaniiiiii nina hasira achaaaaaa yaani humu najitolea kuomboleza bureeeeeeeew!!!! Wapi kamati ya vinywaji ihakikishe wafiwa wetu wanapata chochote!!!!

Mumy nilikuwa nasubiri kipindi cha kimbea kipite sipendi usajili mimi kila wakati presha tuuu!!!!
 
Nimekuja partner yaaaniiiiii nina hasira achaaaaaa yaani humu najitolea kuomboleza bureeeeeeeew!!!! Wapi kamati ya vinywaji ihakikishe wafiwa wetu wanapata chochote!!!!

Mumy nilikuwa nasubiri kipindi cha kimbea kipite sipendi usajili mimi kila wakati presha tuuu!!!!
Hahaha haha hahaha wafiwa wana Hasira wamejifungia ndani wanachungulia tuu.

Tunywe vinywaji wenyewe mamy si wamezira,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najua unaniombea njaa best, ila nipe hata pole za hapa na pale khaa!
Jamani pole nimetoa na vinywaji huu mmekataa!! Ila usijali ...

Onyo: Usijaribu kuja kunicheka kule ishi na mm kwa akili nichukulie kama chombo dhaifu ila chenye kupewa heshima ili maombi yako yasizuiliwe,la sivyo utashindwa mwanzo mwishooooo!! Na daraja utashuka...Hahahhaha hahahhahaha
 
Hahahahhaa usijali ukipata furahia ukikosa jutiaa, msimu huu nimetabiriwa sitakinywea tena kikombe cha hasira yake ni shangwe mwanzo mwisho kama nyie last season!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii post inabidi niweke alama. Ha ha ha ha ha ha kwa kweli najutia na akina cute b ndo wanakuja na misumari ya moto tu. Anaongea huyo
 
Hahahahaha kwakwelliiii!!!

Ngoja tuwafariji tuuuu!!!

Jamani msijali nyie wote wanalondon hakijapotea kitu !!!

Sent using Jamii Forums mobile app
58cc8a4d06829793ade61be44f18cfa3.jpg

Kwa hali hii acha tuwashe moto tuote tuu.
Ndugu zetu wanaeza athirika ki saikolojia tukiondoka

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom