everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,032
Jomoniiiiiii unakeraaaaaa!!! Embu twendeeeee,Leo ni cha Arusha nin????
Sent using Jamii Forums mobile app
Jomoniiiiiii unakeraaaaaa!!! Embu twendeeeee,Leo ni cha Arusha nin????
Kuna post ya mdau imeniamsha jomoniiiii kumbe tunawaboa na hahahhahaha !!!! Poleeeeeeeeeniiiiiiiiiiu







"Kyutiiiiiiiiiii biiiiiiiiiii" daaah kweli nilikumiss.Kyutiiiiiiiiiii biiiiiiiii !!!!! Hahhahaha nimecheka hatariiiiii!!! Shemeji Kimarioooooooo hajhahha sisi tupo OT we never see a shame kusema sisi ni Manchester United the Redd's utatufahamu tu na utatupenda na utajiunga nasi katika kambi ya kusaga sumu, ni fitina fitani tuuu!!! Tupogo humu kitambooo sanaaaa!!!
Kunguru Mjanja embu uwe unatoa utambulisho basi maana kuna watu wanataka kutumeza hahahhahha!!
Wapi Mentor my sweet mzee wa vikatunniiii
Shemeji sisi pia tupogo kule Hispania utatuona ingawaje kule tunagawanyika... Huwa tunatoa pia back pale Italy....
Usituchukie jomoniiiiii!!!!!!!
Haahahahhhaha kama ulililia msimu uliopita basi nami nitaliaaaa!!! Mwaka huu kibao ni kimoja tu Win....Wwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwww![]()
Wala hautuboi best, uzuri wa fitina una pande mbili si wajua kibao kinageukaga?![]()

Ha ha ha ha ha . wanasemaga huu mchezo hauhitaji hasiraaaaaaaaaaaa.Kuna post ya mdau imeniamsha jomoniiiii kumbe tunawaboa na hahahhahaha !!!! Poleeeeeeeeeniiiiiiiiiiu
Hahahhaha umenikumbusha mbaliiiii haki atuvumilie tu huku akijitahidi kupambana na hali yake tuuuuuu!!!!"Kyutiiiiiiiiiii biiiiiiiiiii" daaah kweli nilikumiss.
Ha ha ha ha ha ha msiba unachanganya usiombe yakukute .
Eti sina timu ha ha ha ha ha bora umwambie kwamba tangu 2014 sisi tupo humu tulianza ..
Vuduku
Tukaja vigodoro..
Sasa hivi tupo singeli.
Avumilie tuu maana ndiyo kwanza mwanzo..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha hichi ni cha Arusha halafu kibichi sasa.Jomoniiiiiii unakeraaaaaa!!! Embu twendeeeee,Leo ni cha Arusha nin????
Sent using Jamii Forums mobile app
Jomoniiiiii niache nilale maana unaniua kwa cheko!!!Ha ha ha ha ha . wanasemaga huu mchezo hauhitaji hasiraaaaaaaaaaaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haki nimewamiss hawa watu mpka basiiiii!! Kuna mtu hapo ni mtoro balaa akiona hali ngumu anabadili na timu
Yani kufungwa mechi moja mpaka kujibu swali kwa ufasaha umeshindwa ...Huenda hata hata hana team ya kushabikia ni bendera fata upepo tu
Aaaha wapi hakuna hilo. Japo Mourinho ni mzee wa second season ila nyie bado sana. Hamuwezi kuwa na W nyingi hivyo bado sanaHaahahahhhaha kama ulililia msimu uliopita basi nami nitaliaaaa!!! Mwaka huu kibao ni kimoja tu Win....Wwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwww![]()
![]()
![]()
![]()
Hakuna mwanzo wala nini leo tu, siku nyingine zitakuwa za kubahatisha tu"Kyutiiiiiiiiiii biiiiiiiiiii" daaah kweli nilikumiss.
Ha ha ha ha ha ha msiba unachanganya usiombe yakukute .
Eti sina timu ha ha ha ha ha bora umwambie kwamba tangu 2014 sisi tupo humu tulianza ..
Vuduku
Tukaja vigodoro..
Sasa hivi tupo singeli.
Avumilie tuu maana ndiyo kwanza mwanzo..
Sent using Jamii Forums mobile app
Haki nimewamiss hawa watu mpka basiiiii!! Kuna mtu hapo ni mtoro balaa akiona hali ngumu anabadili na timu
Sent using Jamii Forums mobile app








Kunywa Pepsi kwa Mangi naja kulipa.....Yani kufungwa mechi moja mpaka kujibu swali kwa ufasaha umeshindwa ...
Halafu huyo Mpemba morata a.k.a mla urojo ... Mtoto laini akikutana na zile Beki za stoke city au crystal palace ataweza kufua dafu kweli ... Costa mwenyewe alikuwa anatumia njia za ziada kuzipita beki zile zenye roho mbaya kama askari wa pilato au Nebkadreza
Sent From My Nokia Ya Tochi
Ha ha ha ha, kwani sisi ndiyo tuliwaambia wamsajili MorataHahahhaha umenikumbusha mbaliiiii haki atuvumilie tu huku akijitahidi kupambana na hali yake tuuuuuu!!!!
Anajiju mpenzi wangu Mj.......hahhahhhg
Unamsingizia kwa kweli hakuna mtu kama huyo hapo. Hao wote wanazi wa Chelsea
Mmh! Hiki hata sio cha Arusha sijui umekiokota wapi hiki. Hiki ni cha kivyako vyako tu
Tulale mamy. Ila tukilala ndiyo wanakuja ha ha ha wafiwa wana hasira kweli
Ha ha ha mtajeeeeHaki nimewamiss hawa watu mpka basiiiii!! Kuna mtu hapo ni mtoro balaa akiona hali ngumu anabadili na timu
Sent using Jamii Forums mobile app