Kunguru Mjanja
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 2,047
- 3,978
- Thread starter
- #40,761
Mkuu game imepotelea sehemu mbili tu. Najua wanatusaidiaga sana ila upande wa Alonso na Fabregas ndio waliopotea. Kante akajikuta anazunguka kila sehemu tu.Tusidanganyane bado tunahitaji mshambuliaji
Achana na habari za bakayoko na hazard
Tunahitaji mshambuliaji
Halafu morata abadilishiwe jezi ile ina mkosi ile jezi
Alonso alikuwa anang'ara nadhani kutokana na Hazard anavyomsaidia kuwa rudisha nyuma mabeki, ila bila Hazard anapoteana sana mechi zote toka pre season. Fabregas amekimbizwa sana katikati pale Xhaka na Elneny wamemzungusha sana.
Bila kupata mbadala mzuri wa Alonso na kupata kiungo Mwingine anaeweza kucheza box to box na kuwekeana misuli kweli, maana hatutegemei Bakayoko na Kante kucheza mechi zote basi msimu huu hakuna chetu hata kodogo.

Bia za Wenger mmekunjwa..