Niambie habali gani? Zinafaa kuzungumziwa hapa msiba ni?? Au nije chemba?Kuna habali nimesikia ntaka niaikie kutoka kwako teh teh
Sent using Jamii Forums mobile app
Niambie habali gani? Zinafaa kuzungumziwa hapa msiba ni?? Au nije chemba?Kuna habali nimesikia ntaka niaikie kutoka kwako teh teh
NjooNiambie habali gani? Zinafaa kuzungumziwa hapa msiba ni?? Au nije chemba?
Sent using Jamii Forums mobile app
Alikuwa hajui England ilivyo.Morata mwambieni hii ndo England ligi ya wababe fitina fitaniiii!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahha huko tulishatoka ila naona ww mtaa wa msimu juzi Mtaa wa nane unakuita!!Tutawaona
Arsenal mtaa wa 5
Man u mtaa wa 6
M
Hii ni mitaa yenu pendwa sana
Tutawaona
Arsenal mtaa wa 5
Man u mtaa wa 6
M
Hii ni mitaa yenu pendwa sana
Kama vile naona walivyopumuaa uuuuuuuuhhh..Wadau kwaheriniiii nitakuja kesho kuwajulia hali tupo pamoja kipindi hiki kigumu,kesho tutachambua soka tujue Morata alikuwa benchi au ? hivi Lukaku naye !!! Hahaha Conte naye sijui atajiteteaje....
By the Way ngao ya hisani ni kitu Fulani hiviiii hata hakinaga ulazima tupa kulee... Hahahhaha Kunguru Mjanja umefurahi sasa???
Sent using Jamii Forums mobile app
Binti unanichekesha. Kama unajua ni mpira tu mbn unapovuka? Mi ndio aina yangu ya utani huu. Samahani kama nakuboa binti.Umepanic, mbona huu ni mpira tuu?
Asiyekubali kushindwa siyo mshindani.
Mechi kama hizi![]()
![]()
![]()
wenzenu wana kombe nyie mna nini?
Sioni hata sababu ya kuita watu majina ya ajabu , kama una hasira basi kafunge goli lako![]()
![]()
![]()
.
Haya byee usije ukanimeza bure
Sent using Jamii Forums mobile app
OkBinti unanichekesha. Kama unajua ni mpira tu mbn unapovuka? Mi ndio aina yangu ya utani huu. Samahani kama nakuboa binti.
Broo huyu Cute b anashabikia timu gani kwanzaKumbe hili nalo kombe nilikuwa sijui mie.
Huenda hata hata hana team ya kushabikia ni bendera fata upepo tuBroo huyu Cute b anashabikia timu gani kwanza
Hizi ni akili za mapopo tu ndio hufikiri namna hii
Hii yawezekana pia..Huenda hata hata hana team ya kushabikia ni bendera fata upepo tu
Ha ha ha ha ha ha, Unapenda kung'ang'ania
Mazingira ya msiba hayaeleweki, hakuna anaejua chanzo halisi nini cha kifo ha ha ha ha haSasa tatizo haunijibu tungeshamaliza.
Kwa hiyo mkuu morata alikuwa benchi au alicheza??....
Nijibu nijue mazingira ya msiba yalikuwaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha ha ha bora aisee we nenda tu. Kesho Mungu akipenda. Usimsahau cute bWadau kwaheriniiii nitakuja kesho kuwajulia hali tupo pamoja kipindi hiki kigumu,kesho tutachambua soka tujue Morata alikuwa benchi au ? hivi Lukaku naye !!! Hahaha Conte naye sijui atajiteteaje....
By the Way ngao ya hisani ni kitu Fulani hiviiii hata hakinaga ulazima tupa kulee... Hahahhaha Kunguru Mjanja umefurahi sasa???
Sent using Jamii Forums mobile app
Kyutiiiiiiiiiii biiiiiiiii !!!!! Hahhahaha nimecheka hatariiiiii!!! Shemeji Kimarioooooooo hajhahha sisi tupo OT we never see a shame kusema sisi ni Manchester United the Redd's utatufahamu tu na utatupenda na utajiunga nasi katika kambi ya kusaga sumu, ni fitina fitani tuuu!!! Tupogo humu kitambooo sanaaaa!!!Huenda hata hata hana team ya kushabikia ni bendera fata upepo tu
Ha ha ha ha kwani kuna tatizo?Broo huyu Cute b anashabikia timu gani kwanza
Huenda hata hata hana team ya kushabikia ni bendera fata upepo tu