Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,572
- 21,537
Na Bado mpaka Maji Mseme MMajana niliumia sana sana!dah
Sent From My Nokia Ya Tochi
Na Bado mpaka Maji Mseme MMajana niliumia sana sana!dah
khaa wewe kutangulia bar si kulewa..matokeo ya jana hayawezi kutoa hitimisho kuwa hatujui.Weka akiba ya manenoNa Bado mpaka Maji Mseme MMa
Sent From My Nokia Ya Tochi
Pole Mamakhaa wewe kutangulia bar si kulewa..matokeo ya jana hayawezi kutoa hitimisho kuwa hatujui.Weka akiba ya maneno
Vipi naweza kupata mashine ya juice ya Miwa ??? ha ha ha mashine ya miwa tena..nenda basi SIDOPole Mama![]()
![]()
![]()
![]()
Vipi naweza kupata mashine ya juice ya Miwa ???
Sent From My Nokia Ya Tochi


Atakomaa tu soonYani kufungwa mechi moja mpaka kujibu swali kwa ufasaha umeshindwa ...
Halafu huyo Mpemba morata a.k.a mla urojo ... Mtoto laini akikutana na zile Beki za stoke city au crystal palace ataweza kufua dafu kweli ... Costa mwenyewe alikuwa anatumia njia za ziada kuzipita beki zile zenye roho mbaya kama askari wa pilato au Nebkadreza
Sent From My Nokia Ya Tochi
Nafukua makaburiKwa hili la morata sasa conte anapata usingiz mzuri

Mkuu vepee hapo mitambo ipo sawa..???Bonge la striker
Then kingine ni kuwa washambuliaji wanauzwa gali kuliko viungo na mabeki

Kweli asee you are happy nowKaribu morata darajani now am happy
Heavy Weight

Hukukosea mkuu hongera zakoSasa nauliza bora tungesajili nani kati ya lukaku na morata
Mimi bora ni morata
Bora Morata Kka, yaani nashukuru Mungu tulivyomkosa Lukaku, yule mtaa wa pili watajutia galasa lile. Kiherehere cha Morihno kimewaponza, ha ha ha ha ha

Hahaaaa mi simoAnatakiwa akajiunge haraka na wenzake marekani
Morataaaaaa
Man u mnasikia uchunguu ndio hivyo kashatua
Time will tellHahaaaa mi simo
Siwezi kumjudge kwa match moja mpaka acheze nusu msimuHukukosea mkuu hongera zako![]()
Ipo sawa kabisa mtakuja kuinamisha vichwaMkuu vepee hapo mitambo ipo sawa..???![]()
![]()
![]()
Ubingwa upo pale pale tutawashangaza mnoChizi Costa kutoka na Hazard kama atauzwa basi chelsea inabidi ipiganie kucheza UEFA tu, kutetea kombe tusahau kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Heavy WeightKweli asee you are happy now![]()