Ni kweli baker yuko vizuri na ninaweza kusema ana quality kuliko wenzake wengi ila bado haja settle kwenye formation kama boga anavyotishia amani na mwenzake tomori ndo maana wamemake headlines mkuu
sent from my jamii forums app iphone 7+
Tuna batsuayi kijana mtamu kuliko lukaku. Tazama Magoli yake Leo.Msirudie tena kumwongelea lukaku kawamaliza leo naona kimyaaaa you should behave hata morata kumi hawawezi funga lile goli la lukaku![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Yeye na Musonda Jr ni wachezaji machachari sana kwa kweliAnafaa abaki ili ajifunze zaidi na zaidi, jamaa ni mchezaji wa ukweli!!
sent from my jamii forums app iphone 7+
Sahihi kabisa, wazungu wanasema naked trueSure mkuu,, Lewis Baker yuko vizuri SANAA kwenye attacking,,hajawahi kufunga goli la kawaida goli zake zote za kifundi i know unamfuatilia so u knows that,,ni mzuri SANA nje ya Box anashoot na anascorebfrom that position
ka umeangalia game ya leo kuna pasi aliomba kwa Kenedy unfortunately kenedy akachelewa kutoa akakabwa,ka angepewa ile pasi heading zoote now zingekua zinaongelea style ya goli ambalo Baker angefunga from that position
Ana piga dead balls vizuri sanaa pia,,alipiga freekick moja leo kwa mtu anaejua ufundi wa freekicks obvious aliona sth special from this guy
Kama mliangalia hii match vizuri baada ya wilian kufunga luiz alijipa kazi ya kumshauri batshuay na alipofunga la pili na baadae la tatu luiz alienda tena kuzungumza na batshuay kwa kazi nzuri na batshuay alionekana akimshukuru Mungu kwa ushauri aliopewa na luiz
Nafikiri alimwambia awe anapiga anapolikaribia lango na sio kuremba
we jamaa unafurahisha kwa hiyo striker anayefunga magoli 3 kwa msimu mzima ndio mfungaji bora-kuwa mfungaji bora lazima uwe na consistency ya kufunga magoli ktk misimu angalau 2Kwa mgumo wa Chelsea angetusumbua sana, alafu kufunga goli nyingi msimu u,iopita sio kigezo cha kuwa mfungaji bora au Mzuri, nilifurahi sana Mou alipoingia kichwakichwa kwa Lukaku
morata kule madrid alizungukwa na word class palayers tofauti na lukaku alivyokuwa everton.pia angalaia na ligiMkuu mm sikatai kwamba Lukaku ni mchezaji mzuri na ameweza kuthibisha kuwa anaweza kufunga magoli mengi katika EPL, lakini nataka nikuambie kuwa Morata ni zaidi ya mfungaji.
¶Anaweza kujitengenezea nafasi za magoli(creativity) kitu ambacho hakionekani kwa Lukaku,
¶ Anaweza kufunga magoli machache kuliko Lukaku lakini akatengeneza magoli mengi zaidi ya Lukaku. Kwa maana hiyo with Man U Lukaku anaweza kufunga magoli 28 na kutoa assist 3 za magoli lakini Morata anauwezo wa kufunga magoli 25 na akatengeneza assist 14 za magoli.
Kwa usipotezwe na magoli 25 alifunga Lukaku dhidi ya 15 ya Morata. Jaribu kuangalia Lukaku amecheza mechi ngapi? Na Lukaku amecheza mechi ngapi mpaka anascore 25 goal?
Sent using Jamii Forums mobile app
we jamaa unafurahisha kwa hiyo striker anayefunga magoli 3 kwa msimu mzima ndio mfungaji bora-kuwa mfungaji bora lazima uwe na consistency ya kufunga magoli ktk misimu angalau 2
naona wachezaji wenye namba za kudumu chelsea watakuwa 3 tu
Thibaut Courtois,
N'Golo Kanté,
Eden Hazard
hawa labda waumie
Unatumia vibaya neno world class player. Leo Kante akiwa Chelsea siyo world class player, ila kesho akipelekwa Madric anaanza kuitwa world class layer!morata kule madrid alizungukwa na word class palayers tofauti na lukaku alivyokuwa everton.pia angalaia na ligi