Kyatile
JF-Expert Member
- Feb 5, 2017
- 1,739
- 1,585
Azpilicutta hawezi kupigwa benchi kwa sababu ya under performance. Ni moja ya mabeki bora dunianinaona wachezaji wenye namba za kudumu chelsea watakuwa 3 tu
Thibaut Courtois,
N'Golo Kanté,
Eden Hazard
hawa labda waumie