Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

ea454dd9a1707c817a07563b35fdc9b1.jpg
Tumia akili hadi morata wa watu anashangaa jamani haelewi kinachoendelea katulia tu anaangalia.
 
Fabrigas amewaambia morata na batshuay ni lazima waonyeshe ni kwa nini club imetumia pesa nyingi kuwanunua
Fabi anasema ni lazima waifungie club mabao mengi katika michuano ijayo kwa kuwa ndio washambuliaji club inayowategemea kwa kazi hiyo
 
i
CHELSEA


Players in: Willy Caballero, Antonio Rudiger, Tiemoue Bakayoko, Alvaro Morata.

Linked to: Pierre-Emerick Aubameyang, Andrea Belotti, Alex Sandro, Danilo, Sergio Aguero. Alex Oxlade-Chamberlain, Fernando Llorente.

Likely to join: Oxlade-Chamberlain, Llorente.

Remaining need: Wing-back cover, a potential backup striker if Michy Batshuayi is loaned and another wide forward.

Oxlade-Chamberlain

hi-res-52ffbe06e23e1500c627992ff957fe4e_crop_north.jpg



Fernando Llorente.
sport-preview-fernando-llorente-to-chelsea.jpg
 
Kenedy kinda wa chelsea arudishwa london baada ya Wachina kuchukia kutokana na Post zake kwenye mtandao wa kijamii
Club ililazimika kuomba radhi na kenedy pia aliomba radhi lakini club imeamua kumrudisha nyumbani kama adhabu kwa tukio hilo

Yasemekana picha alizoziweka ziliwachukiza mashabiki wa chelsea china hata kuizomea wakati wa Match dhidi ya arsenal
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom