Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Utajua na man u yako
Chelsea mbele kwa mbele tu
Win win win
afu uzuri wa chelsea huwa hatujui kubishana mitandaoni si tunatia kazi tu uwanjaniii..hapa hazard..kule bakayoko...pale rudiger...anamaliza mtu Kati ALVAGOOOOOOOO...ngoja tukamirishe na sandro ndio mjue kwamba chelsea tunataka ubingwa na sio maneno

I BLNG 2 JESUS CHRST
 
Hamna mwaka Chelsea wamefanya usajili wa makelele,....hahahaaah
 
Ivo uoni conte ndio kapigwa changa kwa pressure yakuto kusajili

Sent using Jamii Forums mobile app

Sasa kama niivo kwann alikuwa first choice!?

Sent using Jamii Forums mobile app

CHELSEA TUMEFULIA SANA YANI TUNA MSUJUDI BENCH WARMER AKATI UKO DRID WANAMUONA FALA2 DAAAH.... KWELI CLUB YETU BADO SANA

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ujielewi mijitu YA man mnamatatizo kweli..... Mou kaanza na morata jamaa wakamdindia 76m man mkakimbilia kwa lukaku wa 75m..... Chelsea tumeenda ma bussnesman tumetoa cash 56m na hiyo nyingine itafuata...... Mmeumia Sana na wivu unawatesa..... Na inter wamekaz kwa yule persc wanataka zaidi YA 43m watu wanajua mournho mtu wa kukurupuka Ndio maana mkigusa mnalipuliwa na midola kwa magarasa kama pogba kiwango < kanteeee
 
yaani hawajamaa hawajielewi hivi lukaku na dau alilonunuliwa anaendana????? jitu zito kama uji wa ulezi ulioganda najua hata wakala wa lukaku anawacheka

Mbona hapo hujamuongelea lukaku au umemsahau naona mmemgeukia pogba ila mwanzo alikuwa lukaku naona imewauma sana lukaku kufunga goli matata la 200 GB naona mkiingia youtube kuliona hata clip haifunguki kwa sababu ya roho yenu mbaya
 
anahadhi ya kuongelewa na timu kubwa kama chelsea???? nyie ongeeni mitandaoni pumzi yenye huwa inakatika mkiwa uwanjani sisi tukobusy na usajiri kuimalisha kikosi .....ngoja ntarudi kuongea na wewe namaliza maongezi na SANDRO huku Italia

I BLNG 2 JESUS CHRST
 
Naomba afanye fasta ili kesho kutwa jumamosi mkikutana na asernal kwenye kombe la asia mtuletee hapa majibu,,morata ni mzuri ila itachukua sana muda kuzoea epl sijapinga usajili wenu.
Wewe ni mtabiri?? Achana na utabiri fake, mbona costa alifika akakiwasha mwanzo mwisho??

sent from my jamii forums app iphone 7+
 
Unashindwa tambua MORATA anacheza ligi gani na pia unashindwa jua kuwa MORATA Madrid kule alizunguka na world class player au unataka sema na cc tunao ao worls5ckass wakutisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Team imechukua epl bila ubishi, ina wachezaji bora wa leagu halafu bado unajisemesha habari za worldclass players unataka team yote iwe ya chelsea iwe na kina lionel messi?? Au wewe unataka worldclass ya aina gani??

sent from my jamii forums app iphone 7+
 
Team imechukua epl bila ubishi, ina wachezaji bora wa leagu halafu bado unajisemesha habari za worldclass players unataka team yote iwe ya chelsea iwe na kina lionel messi?? Au wewe unataka worldclass ya aina gani??

sent from my jamii forums app iphone 7+
awa mi sibishani nao kwanza hii thread ya Chelsea yeye man u anatafuta nini huku (natania)
man u tulieni watu tupige kazi kubwabwaja shida nini...nyie mlimtaka morata mkamkosa mmeanza kupanic....tulieni na huyo lukaku wenu aliyezoea kucheza timu za ndondo cup...tuachie morata

I BLNG 2 JESUS CHRST
 
Nani Kapenya nani Katemwa!!!

Chelsea 2017/18 transfers
IN
Tiemoue Bakayoko
Willy Caballero
Antonio Rudiger
Alvaro Morata

OUT
Asmir Begovic
Nathan Ake
Nathaniel Chalobah
Juan Cuadrado
John Terry
Bertrand Traore
Dominic Solanke
Christian Atsu

Willy Caballero - The Argentine shot-stopper (hatariiiiii)

648269888.jpg
 
yaani hawajamaa hawajielewi hivi lukaku na dau alilonunuliwa anaendana????? jitu zito kama uji wa ulezi ulioganda najua hata wakala wa lukaku anawacheka

I BLNG 2 JESUS CHRST

a579ed6cf9f6ca67e62d38c1a87f7f9c.jpg

Sikupati vizuri [HASHTAG]#MkaangaSumu[/HASHTAG] "UNASEMAAA??"

(Next time andika basi bila kumwaga hayo machozi mkuu ueleweke kuwa haulii hapo wala haikuumi)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom