Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Abramovich alimpenda Lukaku na Costa na ndio iliyokuwa tofauti yao kubwa. Conte alimpenda sana Morata kwa sababu yeye ndie aliyemuinua alipouzwa kwa mkopo juve. Morata naye hakuna kocha anayemuamini zaidi ya Conte. Kutoka Bernabeu na kuja darajani sio uamuzi mdogo!
Kuwaacha Uefa champions na matajiri wa Dunia sio mchezo
Dogo ana iman kubwa kwa Conte zaidi ya ZZ

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba afanye fasta ili kesho kutwa jumamosi mkikutana na asernal kwenye kombe la asia mtuletee hapa majibu,,morata ni mzuri ila itachukua sana muda kuzoea epl sijapinga usajili wenu.
Hizo ni chuki tu costa alichukua muda gani Eden alichukua muda gani
M. Alonso alichukua muda gani
Hoja yako haina mashiko ndugu
 
Huyu Lukaku pale everton hakucheza kwa pressure kama itakavyokua Man u, kumbuka alipokua chelsea alishindwa ku deliver akiwa na huyohuyo murinyo hadi akaondoka, na sababu kubwa ni pressure toka kwa kocha, Man u wanahitaji ubingwa na magoli, na ninavyomfahamu murinyo ni kama blaza JPM ukikosea tu anakutumbua, Lukaku ana wakati mgumu sana Man u. Kihusu uzoefu wa EPL, hata Morata atazoea, mbona Diego Costa alikuja na msimu huohuo akafunga magoli mengi, Ukiwa star ww ni star tu.
 
Mdogo mdogo timu inakamilika, na Conte ana malengo ya makomne zaidi ya matatu kwa msimu ujao
 
Naomba afanye fasta ili kesho kutwa jumamosi mkikutana na asernal kwenye kombe la asia mtuletee hapa majibu,,morata ni mzuri ila itachukua sana muda kuzoea epl sijapinga usajili wenu.

Shida unakariri, Chelsea kwa sasa inacheza mgumo wa Kocha na sio mfumo wa EPL, Moses alocheza Epl kwa muda mrefu lakini hakushine kama sasa, na jibu sio EPL bali ni Kocha, Msimu mmoja tu Victor Moses sio yule tena
 
Nilikuwa mmoja ya wale waliokuwa wakipinga usajili wa lukaku chelsea
Huwa sijawahi kumkubali kabisa

Kwa mgumo wa Chelsea angetusumbua sana, alafu kufunga goli nyingi msimu u,iopita sio kigezo cha kuwa mfungaji bora au Mzuri, nilifurahi sana Mou alipoingia kichwakichwa kwa Lukaku
 
Mmh mkuu sasa mbona kule ni mkaa bench ata team yake ya taifa anasugua... Iv atujaingizwa chaka kuwaiga manure kisa walionesha kumtaka

Sent using Jamii Forums mobile app

Ni mkaa benchi kutokana na mfumo na pia kutokubalika mbele ya Kocha, hata Robert lawsk alikuwa anakaa benchi pale Bayern Munchen, Gardiola alikiwa hamkubali, japo akimwingiza anapiga goli za kutosha lakini alikuwa mtu wa benchi tu
 
Chelsea tuko tayari na timu imeshakamilika, Fabregas hauzwi, atatufaa sana kwenye UEFA kutokana na uzoefu wake, so sasa Chelsea inakikosi namba moja ambacho kitacheza na Arsenal kwenye CS, hicho ndio kitakuwa kikosi maalum cha league. ,
pia tutakuwa na kikosi cha kombe la League, ambacho kipa mpya ndio atatanua nacho sana,
kutakuwa na kikosi cha UEFA ambapo humo watu kama Fab ndio watatamba
na mwisho kutakuwa na kikosi cha FA ambacho kitakuwa ni mchanganyiko wa vikosi vyote na kitakuwa kinapangwa kutokana na timu husika

Conte ni mwingi wa Mifumo, wana Chelsea wala hatuana haja ya kujiuliza ni mfumo gani utakao tumika, kocha ndiye ajuae zaidi

Bakayoko, yuko injury lakini mwili unamsisimka anakwambia hapati picha siku atakapokuwa katikati ya dimba na mtaalamu mwenzie Ngolo Kante

CHELSEA OYEEEEE
 
Bado Alex Sandro wa Juventus mkuu, Alonso yupo vizuri ila yupo slow kidogo. Akija Sandro itakuwa vizuri sana

Kweli kaka, ndio maana Conte anatengeneza vikosi tofautitofauti kwa ajili ya mashindano tofauti, anyway mfumo wetu mkubwa ni wa kutokea pembeni, hivyo lazima kuwe na kusaidiana, Timu ilikuwa inahitaji watu wachache sana na wote tumeshawapata
 
Rudiger
Bakayoko
Morataa
Hawa wote wanaenda kuchukua nafasi ya mtu

Rudiger kwa cahil au luiz
Bakayoko kwa matic
Morataa kwa costa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom