Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

DONE DEAL

Chelsea have announced the £70m signing of Alvaro Morata on a five-year deal from Real Madrid.

Morata will now join up with the squad on their pre-season tour of Asia.

He told the club website: "I am so happy to be here. It’s an incredible emotion to be part of this big club. I am looking to work hard, score as many goals as I can and to win as many trophies as possible."
YANI MORATA £70 KWELI?????????
Fifa wanabudi kudhibiti iki kitu aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja tuone lkn tusubiri ligi ianze ila hawa nilio wataja sizani km watawekwa benchi
Kitakachowafanya wasikae benchi ni kuonyesha wanaijua kazi yao ya ulinzi
Kuna wakati luiz na cahili msimu uliopita walikuwa wanafanya uzembe mwingi huku wakijua hakuna wa kuwabadilisha sasa kazi wanayo

Rudiger lazima achukue nafasi ya mtu hapa
 
Hata mimi nina uhakika huo,kuwa Antonio Rudiger hawezi kukaa bechi pale.
 
Kitakachowafanya wasikae benchi ni kuonyesha wanaijua kazi yao ya ulinzi
Kuna wakati luiz na cahili msimu uliopita walikuwa wanafanya uzembe mwingi huku wakijua hakuna wa kuwabadilisha sasa kazi wanayo

Rudiger lazima achukue nafasi ya mtu hapa

Mara kadhaa Antonio Conte alipopata majeruhi hasa ktk nafasi za mabeki alijaribu kumuweka Zouma ktk hao CBs3 na Azpilicueta kucheza nafasi ya Moses au Alonso.

Lkn ilionekana shida kwa Zouma kushindwa kuelewana na Luiz na Cahill mpk ikawa inamlazimu Pedro kucheza nafasi ya Moses au ya Alonso na ili Azpilicueta arudi kucheza pamoja na Luiz na Cahill.

Watatu hawa walikuta au tayari wamezoeana kiasi kwamba interceptions zozote lazima zifanywe na Azpilicueta au Cahill na last finishing lazima zifanywe na Luiz au Cahill.

Ndio nakubali kua wana makosa kadhaa na kwamba Rundiger yuko vzr lkn kwa huku kuzoeana ninako kuongelea kutafanya Rudiger kuchukua muda ili kupata nafasi.

Na kitu cha msingi ni kwamba usajili wa Rudiger unafanya ktk nafasi ya ulinzi kuwe na backup kubwa ata ktk sub pia.

Vile vile kusajiliwa kwa Bakayoko kutafanya back line ya Chelsea kua ngumu sn. Maana mfumo wa Conte msimu ujao utabadilishwa kidogo tu.

Hapo nyuma karibu na ligi kuisha alikua akijaribu 3+5+2. Hii ikiwa na maana kwamba Courtois.

Azpilicueta + Luiz + Cahill.

Moses + Kante + Bakayoko + Fabregas + Alonso.

Morata + Hazard.

Kwa huu mfumo defense ya Chelsea itakua ngumu kishenzi na attacking ya Chelsea itakua unstoppable.

Ni counter attacks kwa kwenda mbele. Maana master passea Faby ndio maana yuko hapo.
Ni hayo tu kwa sasa.

Asante sn mkuu.
 
Kwa hiyo Pedro umeamua kumpa benchi?
 
Kwa hiyo Pedro umeamua kumpa benchi?
Msimu ujao tutaona wachezaji wakitumika karibu wengi.

Pedro na Willian na ata Batshuay watacheza sn.

Conte hatokua na sura zile zile kila game km last season ktk XI.

Sehemu ambazo zitakua na utulivu kidogo na sura zile zile ni line ya 3 CBs.

Lkn kuanzia kwa mids na huko mbele changes zitakuwepo sn. Na kikubwa atakua anazingatia ni timu gani anakutana nayo na apange wachezaji gani na mbinu gani atumie
 
Sasa mafansi wa chelsea conte anataka kuteua nahodha mpya wa team ya chelsea
Wewe kama fans wa chelsea ni mchezaji gani anayefaa kuwa nahodha wa club yetu misimu ijayo
Haya ndio majina yanayozungumzwa sana
076be8ce607e8b86f0f00217e937e5f1.jpg
Cecar azpiliqweta apo ndo anafaa. Jamaa namkubali sana ni mpambabaji mnoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wewe ni chelsea ya misri au????.....mimi kama mwenyekiti wa mashabiki wa chelsea ya EPL Sikutambui na wala hatuhitaji mashabiki kama wewe

I BLNG 2 JESUS CHRST
Uyo jamaa ni mnafiki wa manyung fc ..namjua sana tu ..kweny thrid yao huwa namwonaga akiandika utumbo wake kama anao andika apa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cahili Hawezi wekwa nje, sababu ya Uingereza wake maana hiyo timu uliyotaja haina mwingereza hata mmoja,
Hapo mimi naona Luis ndio atakayekuwa anagombea namba na Rudiger

Cahill anakaa na atakaa nje bila shida, so far hakuna sheria inayozuia kuchezesha timu bila muingereza hata mmoja,, hao Journalist wasikupe tabu
 
Kitakachowafanya wasikae benchi ni kuonyesha wanaijua kazi yao ya ulinzi
Kuna wakati luiz na cahili msimu uliopita walikuwa wanafanya uzembe mwingi huku wakijua hakuna wa kuwabadilisha sasa kazi wanayo

Rudiger lazima achukue nafasi ya mtu hapa

Hilo liko wazi, na nafasi ya Luis ndio iko kikaangoni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom