Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Screenshot_2017-07-22-17-16-24.png
huyu mu ivory cost kama namuelewa vile maana energy na speed yake leo vimenikosha anaonekana kuonesha nia ya kutaka kuaminiwa na conte, safi sana

sent from my jamii forums app iphone 7+
 
Screenshot_2017-07-22-17-18-15.png
hapa tuna mtu, huyo ola aina akajifunze kwanza soka, atleast huyu namuona anaweza kumpa shida moses kwenye ushindani wa namba, sema defensive game yake bado sijaiona vya kutosha ila atleast this boy

sent from my jamii forums app iphone 7+
 
Mara kadhaa Antonio Conte alipopata majeruhi hasa ktk nafasi za mabeki alijaribu kumuweka Zouma ktk hao CBs3 na Azpilicueta kucheza nafasi ya Moses au Alonso.

Lkn ilionekana shida kwa Zouma kushindwa kuelewana na Luiz na Cahill mpk ikawa inamlazimu Pedro kucheza nafasi ya Moses au ya Alonso na ili Azpilicueta arudi kucheza pamoja na Luiz na Cahill.

Watatu hawa walikuta au tayari wamezoeana kiasi kwamba interceptions zozote lazima zifanywe na Azpilicueta au Cahill na last finishing lazima zifanywe na Luiz au Cahill.

Ndio nakubali kua wana makosa kadhaa na kwamba Rundiger yuko vzr lkn kwa huku kuzoeana ninako kuongelea kutafanya Rudiger kuchukua muda ili kupata nafasi.

Na kitu cha msingi ni kwamba usajili wa Rudiger unafanya ktk nafasi ya ulinzi kuwe na backup kubwa ata ktk sub pia.

Vile vile kusajiliwa kwa Bakayoko kutafanya back line ya Chelsea kua ngumu sn. Maana mfumo wa Conte msimu ujao utabadilishwa kidogo tu.

Hapo nyuma karibu na ligi kuisha alikua akijaribu 3+5+2. Hii ikiwa na maana kwamba Courtois.

Azpilicueta + Luiz + Cahill.

Moses + Kante + Bakayoko + Fabregas + Alonso.

Morata + Hazard.

Kwa huu mfumo defense ya Chelsea itakua ngumu kishenzi na attacking ya Chelsea itakua unstoppable.

Ni counter attacks kwa kwenda mbele. Maana master passea Faby ndio maana yuko hapo.
Ni hayo tu kwa sasa.

Asante sn mkuu.
Ni kweli kabisa usema kaka, ila kwa upande wangu nadhani haitachukua muda sana Rudiger kuelewana na Luiz na Azpilicueta au Cahil maana amezoea kucheza kwenye mfumo wa back three, akiwa Roma na Germany
 
Msimu ujao tutaona wachezaji wakitumika karibu wengi.

Pedro na Willian na ata Batshuay watacheza sn.

Conte hatokua na sura zile zile kila game km last season ktk XI.

Sehemu ambazo zitakua na utulivu kidogo na sura zile zile ni line ya 3 CBs.

Lkn kuanzia kwa mids na huko mbele changes zitakuwepo sn. Na kikubwa atakua anazingatia ni timu gani anakutana nayo na apange wachezaji gani na mbinu gani atumie
Mkuu Ntuzu kwa kweli kwa kiwango cha Willian cha pre-season tusishangae kumuona anaanza game nyingi kuliko Pedro. Msimu uliopita alipitia mengi sana kwa mfano kufiwa na mama ake. Nadhani ilikiwa kigezo cha yeye kutofanya vizuri sana
 
Naona mnawaongelea Boga na Tomori who are really good. But I would say Lewis Baker is THE BEST kwa vijana waliodevelop through loans. Kwa waliomuona game yake wanaweza kusema pia
Ni kweli baker yuko vizuri na ninaweza kusema ana quality kuliko wenzake wengi ila bado haja settle kwenye formation kama boga anavyotishia amani na mwenzake tomori ndo maana wamemake headlines mkuu

sent from my jamii forums app iphone 7+
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom