Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Siyo kweli mkuu,
Chaguo la kwanza lilikuwa Lukaku
La pili Morata
La tatu belloti
La nne aubamang

Auguero ilikuwa tukikosa muelekeo tumchukue
Lukaku alikuwa chaguo la kwanza la Emenalo, ambaye ni technical director wa Chelsea, lakini chaguo la kwanza la Conte lilikuwa Morata. Kama unakumbuka hata msimu wa January Conte alimhitaji Morata ila uhamisho ukashindikana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lukaku alikuwa chaguo la kwanza la Emenalo, ambaye ni technical director wa Chelsea, lakini chaguo la kwanza la Conte lilikuwa Morata. Kama unakumbuka hata msimu wa January Conte alimhitaji Morata ila uhamisho ukashindikana

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa sawa mkuu, umerekebisha vizuri zaidi, huo ulikuwa mvutano wa ndani
 
CHELSEA TUMEFULIA SANA YANI TUNA MSUJUDI BENCH WARMER AKATI UKO DRID WANAMUONA FALA2 DAAAH.... KWELI CLUB YETU BADO SANA

Sent using Jamii Forums mobile app
Kupigwa benchi si ubovu tu wa mchezaji lakini pia inatokana na mahitaji na mfumo wa kocha. Mfano pale Madrid Rodriguez alifaa sana kwenye mfumo wa Anshelot lakini kaja Zidane, Rodriguez akaanza kulamba benchi na sasa Ancherot kaamua amchukue kwa sababu ana confidence in him.

Morata anafit sana kwenye mfumo wa Conte na hata kipindi kile kabla Conte hajatoka Juve, yeye ndo alimpropose, na hata dirisha dogo la January alimhitaji japo haikuwezekana.

Kwa hiyo tumia technical analysis kwenye haya mambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe sio shabiki wa blues kwanza

pamoja na kutokea benchi morata ana goal 15 kwenye la liga na total of 23 goals kwenye michuano yote kama huelewi sasa niambie angecheza full time alikuwa na goal ngapi???

I BLNG 2 JESUS CHRST
Na hayo magoli 15 ya la Liga kacheza mechi 14! What a striker

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmmh ila mimi sina imani na Morata yaani ile mikiki ya EPL sijaona kama ana mbafu za kutosho kuhimili either itambidi achukue muda kidogo au atakua majeruhi mara kwa mara. Namuombea mafanikio mema
Tatizo wewe unataka striker mwenye minguvu
Mpira ni akili

Mbona Harry Kane anaweza

Let it flow
 
Naomba afanye fasta ili kesho kutwa jumamosi mkikutana na asernal kwenye kombe la asia mtuletee hapa majibu,,morata ni mzuri ila itachukua sana muda kuzoea epl sijapinga usajili wenu.
Jmosi ni mapema sana kwake yeye kucheza

Let it flow
 
Sasa conte alikuwa wapi c Chelsea au.... Misiwaongelei manure naongelea timu yangu nasema ukweli kwa MORATA tumeliwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mm sikatai kwamba Lukaku ni mchezaji mzuri na ameweza kuthibisha kuwa anaweza kufunga magoli mengi katika EPL, lakini nataka nikuambie kuwa Morata ni zaidi ya mfungaji.

¶Anaweza kujitengenezea nafasi za magoli(creativity) kitu ambacho hakionekani kwa Lukaku,

¶ Anaweza kufunga magoli machache kuliko Lukaku lakini akatengeneza magoli mengi zaidi ya Lukaku. Kwa maana hiyo with Man U Lukaku anaweza kufunga magoli 28 na kutoa assist 3 za magoli lakini Morata anauwezo wa kufunga magoli 25 na akatengeneza assist 14 za magoli.

Kwa usipotezwe na magoli 25 alifunga Lukaku dhidi ya 15 ya Morata. Jaribu kuangalia Lukaku amecheza mechi ngapi? Na Lukaku amecheza mechi ngapi mpaka anascore 25 goal?


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom