Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tumefungwa magoli ya kizembe sana! Wachezaji wanaonekana bado wana hang-over ya summer break. Lakini Essien na Mikel wako kwenye kiwango kizuri. Anyway, it's just preseason!! Bring on the Mancs!
 
...poleni na misiba mfululizo.
Kazi ya 'Jabulani', haina makosa.
 
Anelka-splash_1100783a.jpg

Vikongwe wameshatupa taulo
kwa sababu baba kakataa kutoa fweza
 
_48655084_berbagoal_afp.jpg

Berbatov na Hilarious nani zaidi? Khe khe kheeeeeeeeeeee
 
Poleni watani, kipigo hiki ndicho ambacho Simba atachakazwa next week na sisi Yanga. BTW; Punguzeni wale pensioners wenu bana, yaani timu iko aged kama ya wafanyakazi wa TRL?, Lol!
 
Duuh! Kweli nyani haoni k.....e!! Vipi kuhusu Van der Sar (40-), Giggs (36), Scholes (35), Rio (31), Neville (35), Evra (29), Wes Brown (30), O'shea (29), Hargreaves (29), Park (29), Carrick (29), Owen (30), Berbatov (29), na Vidic (28)...Hardly a young looking side..lol

Chelsea: Cech (28), Hilario (34), Cole (29), Carvalho (32), Terry (29), Ferreira (31), Alex (28), Lampard (32), Benayoun (30), Malouda (30), Drogba (32), Anelka (31).....Very experienced side. Hilario anaongeza tu age average kwenye timu, hana msaada wa maana sana.
 
Duuh! Kweli nyani haoni k.....e!! Vipi kuhusu Van der Sar (40-), Giggs (36), Scholes (35), Rio (31), Neville (35), Evra (29), Wes Brown (30), O'shea (29), Hargreaves (29), Park (29), Carrick (29), Owen (30), Berbatov (29), na Vidic (28). Hardly a young looking side..lol

Classic khe khe kheeeeeeeeee
 
Sir Alex Ferguson is only 70 timu ya vijana hiyo!
 
Duuh! Kweli nyani haoni k.....e!! Vipi kuhusu Van der Sar (40-), Giggs (36), Scholes (35), Rio (31), Neville (35), Evra (29), Wes Brown (30), O'shea (29), Hargreaves (29), Park (29), Carrick (29), Owen (30), Berbatov (29), na Vidic (28)...Hardly a young looking side..lol

Chelsea: Cech (28), Hilario (34), Cole (29), Carvalho (32), Terry (29), Ferreira (31), Alex (28), Lampard (32), Benayoun (30), Malouda (30), Drogba (32), Anelka (31).....Very experienced side. Hilario anaongeza tu age average kwenye timu, hana msaada wa maana sana.

Classic khe khe kheeeeeeeeee

Sir Alex Ferguson is only 70 timu ya vijana hiyo!

Hao jamaa wa Manure wanapiga tu kelele lakini wanfumbia macho ukweli kwamba Manure ndio timu yenye vibabu wengi, nafikiri hata Bolton wana vijana zaidi ya Manure...lol. Hilario ambaye ndio mzee zaidi Chelsea akiwa na miaka 34 kule Manchester anaonekana cha mtoto.
 
Duuh! Kweli nyani haoni k.....e!! Vipi kuhusu Van der Sar (40-), Giggs (36), Scholes (35), Rio (31), Neville (35), Evra (29), Wes Brown (30), O'shea (29), Hargreaves (29), Park (29), Carrick (29), Owen (30), Berbatov (29), na Vidic (28)...Hardly a young looking side..lol

Chelsea: Cech (28), Hilario (34), Cole (29), Carvalho (32), Terry (29), Ferreira (31), Alex (28), Lampard (32), Benayoun (30), Malouda(30),Drogba (32), Anelka (31).....Very experienced side. Hilario anaongeza tu age average kwenye timu, hana msaada wa maana sana.

mkuu...kwa man utd hawa hata wasipocheza hakuna mabadiliko yoyote kama ulivyoona last season rio,o'shea,brown,hargreaves,neville wote mchango wao ni almost zero combined........
lakini kwa chelsea asipocheza drogba,anelka,malouda,terry,cavalho hakuna timu......
 
Ze Bluesss....sijakataa kuwa na sie tuna aged, though kuna uwiano sawia (team balance), i wish ungeweka first eleven yetu ya jana vis a vis yenu na sub zetu....!
 
Siasa ni mchezo mchafu! Nilijua ningeshida upembuzi yakinifu nilifanya, siku ya siku mazee kura hazijai hata kibaba. No siasa naendeleza career, nimepoteza rasilimali zangu nyingi pamoja na nyumba.

hahaaa umepotezaje nyumba kiongozi
 
Duuh! Kweli nyani haoni k.....e!! Vipi kuhusu Van der Sar (40-), Giggs (36), Scholes (35), Rio (31), Neville (35), Evra (29), Wes Brown (30), O'shea (29), Hargreaves (29), Park (29), Carrick (29), Owen (30), Berbatov (29), na Vidic (28)...Hardly a young looking side..lol

Chelsea: Cech (28), Hilario (34), Cole (29), Carvalho (32), Terry (29), Ferreira (31), Alex (28), Lampard (32), Benayoun (30), Malouda (30), Drogba (32), Anelka (31).....Very experienced side. Hilario anaongeza tu age average kwenye timu, hana msaada wa maana sana.

Wakuu, kwa data zilizomwagwa hapa nimepiga hesabu za fasta fasta majibu ni haya hapa

Average age Man U ni - 31.3 = VIJEBA VINGI
Average age Chelsea ni 29.6

Jibu nafikiri lipo wazi wa sasa, asante mkuu Peasant kutumwagia data.
 
Nafikiri umeona perfomance ya Paul Scholes jana Waingereza wanamlilia arudi timu ya taifa hata Van de Sar uliona kiwango chake.
 
Wakuu, kwa data zilizomwagwa hapa nimepiga hesabu za fasta fasta majibu ni haya hapa

Average age Man U ni - 31.3 = VIJEBA VINGI
Average age Chelsea ni 29.6

Jibu nafikiri lipo wazi wa sasa, asante mkuu Peasant kutumwagia data.
Man United wana wachezaji wengi ambao ni under 23 na kocha anawapanga Rafael,Fabio,Gibson,Nani,Anderson,Chicharito.Hapo Chelsea ili ucheze lazima uwe na miaka kuanzia 25 na kuendelea
 
BTW; Braza Ab Tchaz a.k.a Super Mod wetu yu wapi?, au kahamia kwa Mama Obama kimoja, manake alivyomganda mama wa watu, ipo siku SS watamrudisha kwao Tbr..Lol!
 
Tumefungwa magoli ya kizembe sana! Wachezaji wanaonekana bado wana hang-over ya summer break. Lakini Essien na Mikel wako kwenye kiwango kizuri. Anyway, it's just preseason!! Bring on the Mancs!
Umenena kaka ila wapinzani wetu wasitegemee mteremko bado tupo na timu nzuri ya ushindani na vikombe tutabeba tu.
 
CHELSEA RESERVES BEAT UNITED IN COBHAM FRIENDLY - (4 -1)

Wakubwa wa Darajani, Chelsea imejifariji baada ya vijana wake machachari kuwatungika Man U manne kwa moja jumapili - Timu yetu ilipangwa kama ifuatavyo:-

Chelsea (4-3-3): Jamal Blackman; Billy Clifford, Michael Mancienne, Rohan Ince, Ben Sampayo (sub Toddy Kane 90); Jack Cork, Nathaniael Chalobah, Josh McEachran; Kaby (sub Milan Lalkovic 90), Fabio Borini (sub Gokhan Tore 90), Jacob Mellis

Hawa wengine hawapo hapa sababu wapo na timu ya wakubwa but their still under 23 - Nemenja Matric, Patrick Van Aanholt, Gael Kakuta, Sam Hutchison, Jeffrey Bruma (Alicheza game ya Jpili na 1st team) , Daniel Strurridge (Alicheza game ya Jpili na 1st team)

Hongera sana Chelsea Reserves - Tuna matumaini makubwa na timu yetu kwa sasa na baadaye. go chelsea goooo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom