Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Joe Cole sio KIBABU,tatizo alivyokuwa majeruhi Florent Malouda alikuwa kwenye kiwango cha juu
 
Ni kweli Belo kwamba Cole si kibabu ana miaka 26, tatizo alikuwa majeruhi muda mrefu sana - bahati mbaya amerudi uwanjani miezi michache kabla ya contract yake kuisha. tatizo linakuja alitakiwa approve worth yake kwanza ili apate contract nzuri kama ile anayotaka yeye ( yeye alitaka alipwe pound 120,000 kwa wiki, same level au kukaribiana na wale top earners

Kwa ballack at age of 32 na kiwango chake alichoonyesha -- nafikiri ni uamuzi mzuri kumruhusu kuondoka.
 
JOE COLE ana mkosi na makocha wa Kitaliano,Capelo nae anampiga benchi
 
Ni kweli Belo kwamba Cole si kibabu ana miaka 26, tatizo alikuwa majeruhi muda mrefu sana - bahati mbaya amerudi uwanjani miezi michache kabla ya contract yake kuisha. tatizo linakuja alitakiwa approve worth yake kwanza ili apate contract nzuri kama ile anayotaka yeye ( yeye alitaka alipwe pound 120,000 kwa wiki, same level au kukaribiana na wale top earners

Kwa ballack at age of 32 na kiwango chake alichoonyesha -- nafikiri ni uamuzi mzuri kumruhusu kuondoka.

Hes 28 mate!
 
YOSSI BENAYOUN, 30, is set to sign for Chelsea in a £5.5million move from Liverpool in the next 24 hours after agreeing a four-year contract.

Wakuu wa Darajani, do we real need this person at his age (30 years), where is he going to be accomodated in the team? is he a perfect replacement ya Joe Cole na Ballack?

Read more: Yossi in £5.5m Blues deal | The Sun |Sport|Football
 
Mbona unashangaa wakati hii ndio sera ya darajani na makocha wa Kitaliano
 
we acha tu kaka, mtu wa miaka sate (30) unampa mkataba wa miaka 5 duh - eee hi sasa ni italian way of working...upo sahihi.
 
congrats to scums for signing our Jew ooppps sorry, our jewel!!!

i cant wait to see the youngsters getting chances to play
 
Yeah Mkuu, ni miaka 3. ni kweli atatusaidia sana ni kiungo mzuri kuungalisha mipira mbele sababu hatuna uhakika kama Essien atakuwa tayari mwezi wa nane pia kuna fununu Deco akawa mbioni kuondoka so we will need this person.
 
article-1292205-0A54AD2B000005DC-812_468x286.jpg

Welcome back: Yossi Benayoun, Michael Essien, John Mikel Obi and Petr Cech
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom