Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea sign teenage Czech defender Tomas Kalas

Chelsea have signed the highly-rated teenage Czech centre-back Tomas Kalas.
The 17-year-old will stay in his homeland on loan next season with his club Sigma Olomuc before moving to Stamford Bridge. Kalas reportedly caught the interest of several top European clubs including Arsenal, AC Milan and Bayer Leverkusen.

BBC Sport - Football - Chelsea sign teenage Czech defender Tomas Kalas
 
Huyo ataenda kwa mkopo CSKA Moscow hadi 2020
 
Chelsea sign teenage Czech defender Tomas Kalas

Chelsea have signed the highly-rated teenage Czech centre-back Tomas Kalas.
The 17-year-old will stay in his homeland on loan next season with his club Sigma Olomuc before moving to Stamford Bridge. Kalas reportedly caught the interest of several top European clubs including Arsenal, AC Milan and Bayer Leverkusen.

BBC Sport - Football - Chelsea sign teenage Czech defender Tomas Kalas

Mkuu Masanilo & Peasant wa wazee wengine wa Darajani, hizi ni habari njema sana kwa Club letu, Pia kama Essien kaanza mazoezi mepesi na wenzake inapendeza. Bado sina updates za Bosingwa. Just kuwapa updates wadau ambao wanakandia kwamba Chelsea ni timu ya vibabu, sasa mbali na huyu dogo Czech pia kuna Madogo wakali ambao ni future ya Club kuwataja wachache tu ni kama kina Gael Kakuta, Sam Hutchinson, Jeffrey Bruma, Fabio Borini Jacopo sala, Jan Sebek, Menenja Matic na Daniel Sturridge achia mbali madogo walio kwa mikopo katika club zingine.

The Reserves | Official Site | Chelsea FC
 
Wakuu wa Darajani huyu jamaa akiondoka kweli basi itakuwa ameacha pengo kubwa. ni mchezaji mzuri sana na amekuwa na mchango mkubwa kwa mafanikio ya timu yetu kwa kipindi ambacho amekuwa darajani.

Ashley Cole set for £30million Real deal | The Sun |Sport|Football

Kama kweli dili hili litakamilika, Wazee wa darajani mnasemaje na ujio wa eliNIno kwetu darajani?

Chelsea still want to sign Liverpool’s Fernando Torres | The Sun |Sport|Football

Naona kama itakuwa ngumu kuondoka, jamaa ana guts za kuhimili vishindo vya haters ndani ya England....Arsenal wamekuwa wakimzomea kila mara lakini anawafanya kitu mbaya. Anyway, tusubiri tuone mwisho wa fununu.
 
Wakuu wa Darajani huyu jamaa akiondoka kweli basi itakuwa ameacha pengo kubwa. ni mchezaji mzuri sana na amekuwa na mchango mkubwa kwa mafanikio ya timu yetu kwa kipindi ambacho amekuwa darajani.

Ashley Cole set for £30million Real deal | The Sun |Sport|Football

Kama kweli dili hili litakamilika, Wazee wa darajani mnasemaje na ujio wa eliNIno kwetu darajani?

Chelsea still want to sign Liverpool’s Fernando Torres | The Sun |Sport|Football

30 Mil £ for 29 years player is a good deal! wacha aende tunaweza himili mikiki bila yeye kuna wadogo mmoja anaitwa Patrick van Aaholt ama huyu Mwingereza Sam Hutchison ni moto!
 
Chelsea imeichapa sunderland tano mtungi (5-0)
nicolas anelka akipiga tatu.
Wycombe W.5 - 1 Chelsea habari ndio hiyo

Chelsea-Minute-s-Silence-Stamford-Bridge-Prem_2382385.jpg
Wycombe W. 5 - 1 Chelsea habari ndio hiyo
 
....eeh? Msiba huu umetokea lini na wapi?
ilikuwa england,na juzi wamechapwa 2-1 huko ujerumani na eintracht frankfurt
mechi ya wycombe vs chelsea ilikuwepo matokeo yake nadhani labda abramovich kayatoa kutokana na aibu
hii ni mechi ya
Eintracht Frankfurt 2 - 1
Chelsea
 
Wakuu nilikuwa kwenye mchakato wa kura za maoni kwenye chama changu! Kwa kweli nimeshindwa vibaya sana na sasa nimerudi rasmi.

Chelsea are hoping to sign Brazil midfielder Ramires from Benfica for £17m, the BBC has learned.
The 23-year-old will have a medical at the Premier League club Today
It is thought a four-year deal for the right-sided player, who has 16 caps for his country, could be concluded by the end of the week.
ramires_1690434c.jpg
Source: BBC

Mtatushikia mbali mwaka huu

Masa
 
Wakuu nilikuwa kwenye mchakato wa kura za maoni kwenye chama changu! Kwa kweli nimeshindwa vibaya sana na sasa nimerudi rasmi.

Source: BBC

Mtatushikia mbali mwaka huu

Masa

Mkuu masanilo - Sikujua kama ulikuwa kwenye mchakato - hayo ndiyo mambo ya siasa, ujaribu next time.
 
Mkuu masanilo - Sikujua kama ulikuwa kwenye mchakato - hayo ndiyo mambo ya siasa, ujaribu next time.

Siasa ni mchezo mchafu! Nilijua ningeshida upembuzi yakinifu nilifanya, siku ya siku mazee kura hazijai hata kibaba. No siasa naendeleza career, nimepoteza rasilimali zangu nyingi pamoja na nyumba.
 
Siasa ni mchezo mchafu! Nilijua ningeshida upembuzi yakinifu nilifanya, siku ya siku mazee kura hazijai hata kibaba. No siasa naendeleza career, nimepoteza rasilimali zangu nyingi pamoja na nyumba.

Masa, kwenye siasa bwana kuna mengi ni kweli - Mfano kuna jimbo moja wanachama wa chama husika hawamtaki aliyeshinda kura za maoni sababu wana uhakika hawajamchagua yeye, wakalazimisha kura zirudiwe kuhesabiwa 3 times- kila wakihesabu jamaa huyo huyo anashinda - wakamwambia msimalizi wajipange awahesabu manually au atumie kadi kuhakiki maana jamaa anatumia nguvu za giza na viini macho wakati wa kuhesabu, wakaambiwa kanuni haziruhusi namna hiyo.

Sasa wanachama wametishia kurudisha kadi kama huyo jamaa hatakatwa jina lake - nasikia jamaa ni sangoma kinoma - hiyo imetokea tanga jimbo X. Its true kwenye siasa kuna vitu vingi sana humo ndani. mimi wacha niendelee kufundisha na ujasiliamali - ha ha ha ha

Anyway turudi kwenye mada za chelsea wasije jamaa wakatumaindi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom