FA Community Shield: Chelsea vs Man UTD

Generally timu yetu bado iko mswano ila JT atatugarimu sana msimu huu! he best form has pasted!
Kuna mkuu mmoja ana signature hii.....
Football is not as predictable or scientific as some people think and sometimes people are wrong on what they say".Arsene Wenger a.k.a "The proffesor..........................
Safari hii mna kazi sana...labda mtasaini wapya, vinginevyo hawa wastafu wa EA watawalisa....Inawezekana Arsenal, Man City,Man U,.....mwezi wa 5 hapo...tehetehethete
Tunasubili kutangaza beki mbili na kipa mmoja, hapo ndio mtatutambuwa..
 
Sidhani kama kutakuwa na ugumu sana rejea mwaka jana kwenye ligi ya spain kilichowakuta RM sidhan kama watasahau..Ila mwaka huu Barca watakuwa tishio kwenye CL na ligi ya nyumbani..Huku UK PL hakuna mabadiliko kwenye Top four
 
CARLO ANCHELOTTI kaitengeneza sana chelsea jamani....siku hizi wanacheza passing game nzuri sana......
 
Mkuu unaruhusiwa kuhama from Chelsea to Arsenal....I assume pre season ni kura za maoni, sasa umeshindwa, njoo kwetu....Akina arsene wenger, wacha1, kweli, balantanda, etc hawatakuzuwia...tunakaribisha
Kwanini niame wakati niko timu bora zaidi England?!!!!
 
Shame on us (Chelsea)...

Keeper wetu ovyo kabisa ha ha ha

Samahani...did you mean....shame on you! hahahahahahahhaha....kipa wenu hovyo, poleni sana...leo ni kichapo....Najisikia raha kama MAN U au Chelsea wanafungwa...hapa sina raha kwanza MAN U wanashinda, lakini ninaraha Chelsea wanafungwa....

Shame on Chelesea....Invisible
Keeper wetu ovyo kabisa ha ha ha......Invisible

Arsenal is a best team, with creative players. Currently, Arsenal needs defenders and a goalkeeper to be the leaders...Go Arsenal Go Arsenal
 
Hili dogo sturridge jinga sana,kapewa bonge la pasi kashindwa kuitumia.naona kalou kawatoa hapa .
 
Samahani...did you mean....shame on you! hahahahahahahhaha....kipa wenu hovyo, poleni sana...leo ni kichapo....Najisikia raha kama MAN U au Chelsea wanafungwa...hapa sina raha kwanza MAN U wanashinda, lakini ninaraha Chelsea wanafungwa....

Shame on Chelesea....Invisible
Keeper wetu ovyo kabisa ha ha ha......Invisible

Arsenal is a best team, with creative players. Currently, Arsenal needs defenders and a goalkeeper to be the leaders...Go Arsenal Go Arsenal
Acha kuwa kituko mkuu, inakuwaje unasema Arsenal best team wakati huohuo unasema inahitaji deffenders na kipa, sasa best team gani ambayo haijakamilika?!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom