Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

_47855806_drogba_pa.jpg



_47855780_ballack_pa.jpg



_47855863_james_getty.jpg



 
Sawa mkubwa nafikiri hizo seedings zinasaidia wakati wanapanga makundi,nafikiri kuwa GIANTS CLUB in the world unatakiwa uwe umechukua ubingwa nchini mwako mara nyingi Champs League na World Club Champions

Sweeping statement! Which country/ies are you talking about?
 
KIKOMBE CHA MBUZI TU HIKO:target:
Kikombe wakichukua chelsea ndo kinakuwa cha mbuzi siyo! Tumeweka darajani vikombe wiwili kama una wivu basi kamba inakuhusu.Na mwakani ndo itakuwa zaidi vitatu au vinne,upo hadi hapo.
 
aapowertriesman_585_697591a.jpg


Huyu bwana ndiye aliyechukua mpunga
kutoka kwa Chelsick

 
Chelsea won double without the service of Michael Essien! I can not wait for the next season....tunaongezea 2 marquee signings Fernando Torres, Kaka or Atletico Madrid striker Sergio Kun Aguero. Najua ni burudani zaidi

Arsenal have bid for an injury prone Owen Hargreaves from Man utd 🙂


 
Upo sahihi Masanilo, wale wote wanaofikiria Chelsea inaweza poteza point msimu ujao hawajui kusoma alama za nyakati, Kumkosa Essien na Bosingwa karibia msimu mzima na kuja kushinda FA na Premiership ni Ushindi mkuu. Ni kweli tutahitaji majina makubwa mawili matatu kuja kuzima mapengo na kuongeza options za kocha lakini pia kumbukeni kuna watoto wanakuja kwa kasi ya ajabu, kutaja wachache tu ni kama Kakuta, Borin na Bruma
Angalieni hii si chelsea ya miaka hiyo ya Gullit na Ken Bets - hii ni ya kijana wa Kirusi (36), mwenye uchu wa ushindi. kazi kwenu wafukuza mbwa Arsenali, Man U na Liver vikongwe.

Naweza kusema nitakuwa na wasiwasi na Man City 'cause kadri wanavyozidi kuzoeana wanakuwa wakali na wanacheza kitimu.
 
Man Citeh sina wasi wasi nao maana hawana kocha! watasajili sana na kufukuza wachezaji....Richards na Steven Ireland huenda wakatupiwa mikoba na wachezaji wazuri hupenda cheza CL......! Nampenda Modric wa Tot yule jamaa ni Engine
 
Chelsea won double without the service of Michael Essien! I can not wait for the next season....tunaongezea 2 marquee signings Fernando Torres, Kaka or Atletico Madrid striker Sergio Kun Aguero. Najua ni burudani zaidi

Arsenal have bid for an injury prone Owen Hargreaves from Man utd 🙂


Mbona last 3 season ESSIEN alikuwepo na mlikuwa wasindikizaji tu, Hapo mchezaji Torres na Aguero huyo KAKA kashachoka
 
Mbona last 3 season ESSIEN alikuwepo na mlikuwa wasindikizaji tu, Hapo mchezaji Torres na Aguero huyo KAKA kashachoka

Teh teh teh teh basi kama ni hivyo atakula bench! will that make you happy?
 
carousel_terry_1043269a.jpg



JOHN Terry's dad today apologised in court for bringing shame on his son after being told he faces at least six months in jail for supplying cocaine. Ted Terry, 56, handed over three wraps of the class A drug, worth about £120, in the toilet of a wine bar, Basildon Magistrates' Court heard. Unemployed Terry was arrested on November 5 last year. The court heard how an undercover reporter posing as a chauffeur driver convinced him to hand over the drugs, which weighed 3.5g, in the toilets of the Unit 4 wine bar in Chafford Hundred, Essex, just 200 yards from the £250,000 terraced house paid for by his Chelsea and England ace son.
Ricky Khagram, prosecuting, told the court: "Dan Sanderson, an investigative journalist working for The News of the World went to the Unit 4 wine bar in Chafford Hundred on September 17 last year posing as a chauffeur. "Over six weeks he went to the bar and befriended Mr Terry. On November 5 last year he went to the bar with his boss who also posed as a chauffeur driver. "Mr Sanderson was offered cocaine by another male named Leon. During the conversation with the other male. Mr Terry stated to Mr Sanderson he could also supply him with cocaine. "Mr Sanderson agreed to purchase cocaine from Mr Terry and gave him £120. This was for 3g of cocaine, Mr Terry then asked for something more for himself and he was given a further £40. "They went into the toilets of the bar and Mr Terry passed Mr Sanderson three wraps - these contained cocaine.

"This was reported in The News of the World." His barrister, Neil Saunders, said Terry was upset at the embarrassment he had caused his football star son. Mr Saunders said: "He is very remorseful he finds himself in front of you today. He's embarrassed for the upset he has caused to, in particular, his son and that's why he was targeted." Terry, who wore a dark suit, white shirt and blue tie for his court appearance, listened intently in the dock and spoke only to confirm his name, address, date of birth and plead guilty to the single charge of supplying 3.5g of cocaine. Magistrate John Toplis said the case was too serious to be dealt with at magistrates court and sent the matter to Basildon Crown Court for sentencing.


Terry is due to be sentenced on June 1 — less than two weeks before England's first game of the 2010 World Cup in South Africa.



 
Chelsea FC do not need to sign a Czec's back up! JT can do that...hebu angalia alivyodaka kikopo cha beer kwa mkono mmoja ! Amazing catch

 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom