Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Japo sipendi ila nitakuwa nawe ile siku unacheza na Spurs kwenye ligi, naamini unaweza kumfunga hata umsogeze nyuma kidogo. Naamini hutaniangusha best au sio everlenk [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
 
Kuna mutu inaitwa Malafyale ilisema dawa ya Hazard imepatikana baada ya Herrera kufanya marking ya nguvu.


Nilimwambia huyu jamaa kua dawa ya hilo imeshapatikana na Conte atalifanyia kazi...

Leo Hazard kaanzia Benchi... Spurs mbinu zao zikabuma...

Kaingia Spurs tayari walikua wameshachoka.... Badae anainuliwa Master passes Faby.....

Alafu unapewa nafasi chezea mpira utakavyo lkn sisi nafasi tukipata tu unaumia..

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mtaipenda tu [emoji111][emoji111][emoji111][emoji111][emoji111][emoji111][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
 
17991090_1499470613436862_3508732493897915805_n.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom