Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Well done Matic; Huray Chelsea Fc.
The victory is obvious!!!
 
Hazard alitoa pasi iliyowachanganya mabeki wote wa Spurs labda walifikiria angelichanja mbuga kumbe akatoa pande
 
Chelsea kipindi cha pili wamepiga mashuti mawili na kufunga mabao mawili hawajapata kona hata moja
 
Dakika 87; Kaza buti Chelsea.
Kisasi chenye malengo chanya!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom