Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

CONTE huwa hafungwi mara mbili mfululizo mkuu... ikitokea ivyo basi ujue wachezaji wapo kwenye kamgomo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa kweli mkuu, ndio maana mwanzo nikasema acha niamini wachezaji na kocha wangu..
 
Nilikuwa nina mashaka sana na kikosi cha mwanzo ila ikabidi niamini na hawajaniangusha, Spurs wana roho ngumu sana.

Ake amecheza vizuri kabisa, Batchuayi amejitahidi leo kulinganisha na siku nyingine. (maoni yangu)

Nalipoingia Fabregas kidogo kati palitulia, Hazard nikama aliambiwa usihangaike sana
Mkuu hiyo game ilikua ni knock out... Na ilikua km dk 90 bado team zilikua sare lazima kwenda Extra Time.

Sasa lazima uwe na mikakati ya team kua na nguvu na kua tayari kucheza muda wote mpk 120.

Sasa nilipoona Faby, Hazard na Costa wako nje na Spurs alikua na Walker tu nikaona strength ya Spurs haiwezi kufika ata dk 120. Maana wakiinuliwa tu hao wachezaji wa Chelsea na kuingia basi Spurs lazima wawe ktk Hali mbaya.

Leo Conte kanifurahisha sn hajachelewa kufanya sub km siku ya Man Utd. Kazifanya mapema sn.

Hongera sn wana Chelsea wenzangu woooote. [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji123][emoji123][emoji123][emoji111][emoji111][emoji111]

[HASHTAG]#Once[/HASHTAG] [HASHTAG]#Blue[/HASHTAG] [HASHTAG]#Always[/HASHTAG] [HASHTAG]#Blue[/HASHTAG] [emoji838] [emoji838] [emoji838] [emoji838] [emoji838]
 
17991090_1499470613436862_3508732493897915805_n.jpg
Nemanja Matic finally settled this compelling affair with a goal from 30 yards which will accumulate YouTube views and likes for years to come. - Rob Draper on The MailSports
 
Mungu nisamehe kwa kumdharau na kumsema vibaya aloso maana amekua akidhihisha kua yeye ni mtu sahihi kwa hiyo kazi kila uchao!!! Nathubutu kusema angecheza OT gap lingekua zaidi ya point 4

Congrats the blues we fu**ked up spurs
 
Hazard naye kama nimemwona na bandage mguuni sijui majeruhi ama swagger tu. Ila kama majeruhi ndo yanatukumba namna hii nitamsamehe akiuza FA kuokoa EPL. Ni heri tushinde EPL kuliko kupanga wote leo halafu tukose watu wa kucheza mid week. We need fit people against everton.
Umenena ukizingatia Leo ametoa draw
 
Hongereni blues wote na bado natoa pole kwa kupigwa na gazeti(man utd) na kuzimia kwa mshituko tuko pamoja mpaka kieleweke
 
United manyumbu sana baada ya kuwatoa robo final Leo walikuwa wote wamechagua upande wa Tot wameumbuka si kitoto noma sana
Sasa best ulitaka tukushabikie bana ahhhhh!! Soka bila fitina haliendi!!! Mi najua japo nacheza na Barnely kwako si lolote wala chochote lakini kesho utakuwa upande wake ukipoza machungu ya last week[emoji23] [emoji23] ni kawaida sana kny soka relax!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom