Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,254
Dakika za nyongeza nne
kivip mkuu ulibet?Weekend ishaharibika!
Hongereni sana........ ila kwa mara ya kwanza natoa hongera ya kinafiki[emoji85].
Ahhhhh!!! Nimesafisha moyo mkikaza zaidi mwaka wenu huu kuna tuvikombe tuwili tulee..... all the best.[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Asante best.... ipokee kwa mikono miwili tu si unaona nimesema nimesafisha moyo hahhaahaha!! Ila karoho kaliniumaaaaa sasa nimekasafisha lakini!!Japo ya kinafiki ila Asante sana best...... na nyie alhamic kule kuaeza kuwaendea vizur
Nilikuwa nina mashaka sana na kikosi cha mwanzo ila ikabidi niamini na hawajaniangusha, Spurs wana roho ngumu sana.Huu mpira Conte alitaka kuwaaminisha spurs watashinda kilaini ila alipowaingiza Costa na Hazard hapo wakakosa plan B na kupotea kabisa...Hatukutaka kucheza mpira wa nguvu sana kwa kuwa tuna mechi karibu hivyo mbinu hii imesaidia kiaina!Ila Matic ule mpira alipoupeleka sio kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23]